JK: Serikali haitasita kufungia chombo cha habari
Wakati pazia la kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba likisubiri kufunguliwa kesho, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali haitasita kufungia chombo cha habari kitakachotumia uhuru wake kuleta uchochezi na vurugu nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Uchaguzi wa urais Malawi: Chombo cha habari cha serikali kinasema upinzani unaongoza
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Sadick: Bwakata si chombo cha serikali
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amewataka Waislamu kuondokana na dhana kuwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), ni chombo cha serikali. Amesema dhana hiyo sio...
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Kufungia vyombo vya habari siyo utawala bora
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Chombo chochote kitakachokiuka maadili ya habari kukiona chamoto
Naibu waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akitoa hutuba yake kwenye uzinduzi wa Nembo ya radio Triple A FM na kuwataka wamiliki na wanahabari kuhakikisha wanafuata maadili ya taaluma ya uandishi wa habari iwe kazini au nje ya kazi zao.
Serikali imesisitiza kuwa haitavifumbia macho vyombo vya habari vitakavyo kiuka maadili ya habari na kuwa haitasita kuvichukulia hatua kali vyombo hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari vijana utamaduni na michezo Juma Nkamia...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Ushirika ni chombo cha ufisadi?
USHIRIKA nchini umeandikwa na kusemwa mara nyingi katika vyombo vya habari, na karibu mara zote umeandikwa na kusemwa kwa sababu ya mambo mabaya yanayoupata na kuufanya udumae na ushindwe kuonyesha...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Ataka chombo cha wanawake
UWEPO wa chombo maalum, umetajwa kama njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume, hivyo kubaki nyuma kiuchumi na kiuongozi. Mhadhiri wa Chuo...
10 years ago
Mwananchi09 Dec
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Kinahitajika chombo cha usawa wa jinsia
TUME ya kusimamia haki za wanawake na usawa wa jinsia ni moja ya vyombo vya uwajibikaji vinavyowekwa kisheria vya kusimamia utekelezaji wa misingi hizi kama ilivyobainishwa katika sheria za nchi....