Chombo chochote kitakachokiuka maadili ya habari kukiona chamoto
Naibu waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akitoa hutuba yake kwenye uzinduzi wa Nembo ya radio Triple A FM na kuwataka wamiliki na wanahabari kuhakikisha wanafuata maadili ya taaluma ya uandishi wa habari iwe kazini au nje ya kazi zao.
Serikali imesisitiza kuwa haitavifumbia macho vyombo vya habari vitakavyo kiuka maadili ya habari na kuwa haitasita kuvichukulia hatua kali vyombo hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari vijana utamaduni na michezo Juma Nkamia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Aug
JK: Serikali haitasita kufungia chombo cha habari
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UCDn4nJy3wo/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Uchaguzi wa urais Malawi: Chombo cha habari cha serikali kinasema upinzani unaongoza
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili
NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM
WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.
Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...
11 years ago
Dewji Blog19 May
Mafunzo ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro yafanyika Masasi, Mkoani Mtwara
Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Br. Edwin Mpokasye akiwakaribisha washiriki katika ufunguzi wa warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.
Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Br. Edwin Mpokasye akikabidhi risala aliyoitoa kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Farida Mgomi wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa warsha hiyo.
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa ufafanuzi...
9 years ago
MichuziMALALAMIKO YA VYAMA YATATULIWE NDANI YA KAMATI YA MAADILI NA SIO VYOMBO VYA HABARI —LUBUVA
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu ,Damian...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
UNESCO, TCRA yataka wadau wa habari katika matumizi ya intaneti kuzingatia usiri na maadili
Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo.. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tanzania Education and Research Network (TERNET), Amos Nungu na Kushoto ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na...
9 years ago
VijimamboLUBUVA - MALALAMIKO YA VYAMA YATATULIWE NDANI YA KAMATI YA MAADILI NA SIO VYOMBO VYA HABARI
Na Chalila Kibuda.
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu ,Damian Lubuva amevitaka...