Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa urais Malawi: Chombo cha habari cha serikali kinasema upinzani unaongoza

Matokeo rasmi hayajatangazwa lakini chombo cha habari cha serikali kimetangaza kuwa Lazarus Chakwera anaelekea kushinda.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

JK: Serikali haitasita kufungia chombo cha habari

Wakati pazia la kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba likisubiri kufunguliwa kesho, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali haitasita kufungia chombo cha habari kitakachotumia uhuru wake kuleta uchochezi na vurugu nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sadick: Bwakata si chombo cha serikali

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amewataka Waislamu kuondokana na dhana kuwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), ni chombo cha serikali. Amesema dhana hiyo sio...

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Nini mustakabali wa upinzani baada ya 'kifo' cha UKAWA?

Je, hatima ya uliokuwa muungano wa vyama vya upinzani UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) 'ulishazikwa rasmi'.

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE MGOMBEA WA KITI CHA URAIS WA MAREKANI NA NINI TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI TANZANIA

DONALD TRUMP
Na Mwandishi Maalum
Wakati mdahalo wa pili wa wagombea wa chama cha Republican unasubiriwa kwa hamu usiku wa Jumatano tarehe 16 Septemba, ni vyema kuandika machache kuhusu mgombea Donald Trump ambaye anaendelea kuongoza kura za maoni katika kundi kubwa la wagombea wa chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuingia Ikulu ya Marekani mwishoni mwa mwaka kesho. Katika kuchambua harakati za Bwana Trump za kuusaka uongozi wa juu wa taifa la Marekani pia tumejaribu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani Malawi Lazarus Chakwera ashinda uchaguzi

Lazarus Chakwera ameshinda uchaguzi huo kwa karibu asilimia 60 kuwa rais wa Malawi.

 

11 years ago

Michuzi

Profesa Peter Mutharika Rais ashinda kinyang'anyiro cha Urais Malawi

Profesa Peter Muthirika anayeongoza chama  cha DPP ndiye rais mteule nchini Malawi
Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani