Profesa Peter Mutharika Rais ashinda kinyang'anyiro cha Urais Malawi
![](http://2.bp.blogspot.com/-zl_0bNBsm8Q/U4lkQZq3iJI/AAAAAAAFmp4/gEYcFkWxxzQ/s72-c/peter_mutharika_malawi_lilongwe_high_court.jpg)
Profesa Peter Muthirika anayeongoza chama
cha DPP ndiye rais mteule nchini Malawi
Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa asilimia 20.2 na Atupele Muluzi amekuwa wa...
Michuzi