Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka chombo cha wanawake

UWEPO wa chombo maalum, umetajwa kama njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume, hivyo kubaki nyuma kiuchumi na kiuongozi. Mhadhiri wa Chuo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa urais Malawi: Chombo cha habari cha serikali kinasema upinzani unaongoza

Matokeo rasmi hayajatangazwa lakini chombo cha habari cha serikali kimetangaza kuwa Lazarus Chakwera anaelekea kushinda.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ushirika ni chombo cha ufisadi?

USHIRIKA nchini umeandikwa na kusemwa mara nyingi katika vyombo vya habari, na karibu mara zote umeandikwa na kusemwa kwa sababu ya mambo mabaya yanayoupata na kuufanya udumae na ushindwe kuonyesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili kama chombo cha mawasiliano-2

Dhima ya lugha ni kufanya yafuatayo; mosi ni ujumi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinahitajika chombo cha usawa wa jinsia

TUME ya kusimamia haki za wanawake na usawa wa jinsia ni moja ya vyombo vya uwajibikaji vinavyowekwa kisheria vya kusimamia utekelezaji wa misingi hizi kama ilivyobainishwa katika sheria za nchi....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sadick: Bwakata si chombo cha serikali

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amewataka Waislamu kuondokana na dhana kuwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), ni chombo cha serikali. Amesema dhana hiyo sio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chombo cha India chatua Mars

Wanasayansi wa anga za juu nchini India wanasema kuwa chombo chao cha safari za anga za juu kwa sasa kinazunguka sayari ya Mars.

 

10 years ago

Habarileo

Wapendekeza Uhamiaji kuwa chombo cha ulinzi

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza Idara ya Uhamiaji itambulike kikatiba kuwa miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa, vitakavyokuwa chini ya Rais na iundiwe Tume yake ya Utumishi, itakayohusika na ajira za watumishi wa idara hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Chombo cha kupambana dawa za kulevya kuundwa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema atahakikisha kunaundwa chombo kipya cha kupambana na biashara ya dawa za kulevya kabla ya hajAondoka madarakani, Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

JK: Serikali haitasita kufungia chombo cha habari

Wakati pazia la kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba likisubiri kufunguliwa kesho, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali haitasita kufungia chombo cha habari kitakachotumia uhuru wake kuleta uchochezi na vurugu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani