Kesi za madai katika Mahakama Kuu ya Tanzania
Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni mahakama ya ngazi ya juu baada ya mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi. Mahakama hii imeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 108 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 May
Kesi ya madai katika mahakama ya wilaya
10 years ago
Mwananchi28 May
Kesi za madai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
11 years ago
MichuziMAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAWAACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Axo3GblqLG0/Xnnn7zdJlvI/AAAAAAALk5M/0eiHOzTrmb0N7vNTydmOsMi1Tdn221VHwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUTUMIA 'VIDEO CONFERENCE' KUENDESHA KESI ILI KUEPUKA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Axo3GblqLG0/Xnnn7zdJlvI/AAAAAAALk5M/0eiHOzTrmb0N7vNTydmOsMi1Tdn221VHwCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesema kutokana ugonjwa wa Corona kuendelea kuwa tishio duniani na hata kama ikitokea Mahakama zikatakiwa kufungwa basi shughuli za kimahakama hazitasimama na badala yake zitakuwa zikifanyika kwa njia ya mtandao.
Pia imeelezwa kuwa kuanzia kesho mahabusu ambao walikuwa wanapaswa kuletwa Mahakama Kuu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi zao hawataletwa, badala yake utatumika mfumo wa vedio maarufu...
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fN4labSsi2c/XsVuIHQ7wJI/AAAAAAALrAs/fiK1PoEU37YEKGMXcC3WKAi_4aINI45FACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200520_135120_3.jpg)
SHIRIKA LA CILAO LAFUNGUA KESI NAMBA 06 YA MWAKA 2020 MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUMSHTAKI SPIKA WA BUNGE
Shirika la CILAO limefungua kesi leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Arusha kumshtaki Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe kufuatia kitendo cha Spika kumruhusu Cecil Mwambe kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge aliyakuwa alitangaza kujiuzuru .
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi mtendaji wa Shirika la CILAO Odero Oder alisema kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hz9JSOeu4gg/VP8GehF04GI/AAAAAAAHJWs/vz8aKUbah3c/s72-c/zitto.jpg)
JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hz9JSOeu4gg/VP8GehF04GI/AAAAAAAHJWs/vz8aKUbah3c/s1600/zitto.jpg)
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ElsokzLIBBQ/UGNF0wS8E8I/AAAAAAAANgg/aSVZbMRcySs/s72-c/chande1.jpg)
MAHAKAMA YA TANZANIA SASA KUONYESHA LIVE KESI WAKATI ZIKIENDELEA KATIKA TELEVISHENI NA REDIO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ElsokzLIBBQ/UGNF0wS8E8I/AAAAAAAANgg/aSVZbMRcySs/s640/chande1.jpg)
MAHAKAMA inaangalia uwezekano wa kuruhusu vyombo vya habari kurekodi picha na sauti kuwezesha vituo vya radio na televisheni kuripoti habari za mahakama wakati kesi zinaendelea. Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman alisema jana mahakama inajifunza kutoka kwa nchi zinazoruhusu vituo vya redio na televisheni kurekodi na kuripoti habari wakati kesi zinaendelea.
Alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jana wakati wa mkutano baina ya Baraza la Vyombo vya...
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Kesi ya Wakili Mwale yahamia Mahakama Kuu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu.
Hatua hiyo ilikuja jana baada ya upande wa Jamhuri unaowakilishwa na Wakili Oswald Tibabyakomya, kudai kuwa umekamilisha upelelezi wa kesi hiyo.
Watuhumiwa wengine katika shauri hilo ni Don Bosco Gichana, Boniface Mwimbwa na Elias Ndejembi.
Mbele ya Hakimu Mfawidhi Mkazi wa Mahakama ya Hakimu...