Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya madai katika mahakama ya wilaya

Mahakama ya wilaya imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha sheria ya Mahakama Sura ya 11 kama ilivyorejewa mwaka 2002. Mahakama za wilaya zimeanzishwa kwa kusudi la kushughulikia mashauri yaliyopo katika wilaya husika. Kesi husikilizwa na Hakimu wa wilaya au Hakimu Mkazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kesi za madai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi

Mahakama ya Hakimu Mkazi imeanzishwa chini ya kifungu cha nne cha Sheria ya Mahakama Sura ya 11 kama ilivyorejewa mwaka 2002.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi za madai katika Mahakama Kuu ya Tanzania

Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni mahakama ya ngazi ya juu baada ya mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi. Mahakama hii imeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 108 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi Mahakama ya Wilaya chini ya miembe

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wilayani Mpanda inakabiliwa na changamoto ikiwemo ukosefu wa nyumba vya ofisi hivyo upo uwezekano wa baadhi ya kesi kusikilizwa chini ya miti ya miembe mahakamani hapo . Hii ni kutokana na ofisi ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo kuanza kutumika na Mahakama Kuu ya Tanzania - Kanda ya Sumbawanga kwa ajili ya kusiliza mashauri ya makosa ya jinai .

 

11 years ago

Mwananchi

Madudu ya mahakama katika kesi za ujangili

Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakipiga kelele kuhusu kukithiri kwa ujangili unaotishia kutoweka kwa wanyamapori nchini, baadhi ya mahakimu wamebainika kutoa hukumu zinazokinzana na Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya 2009 na ile ya makosa ya uhujumu uchumi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini

BETTY 1

Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.

Bw.+Phil-Makini+Kleruu

Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.

Na Mwandishi wetu, Arusha

Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali  kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA YA TANZANIA SASA KUONYESHA LIVE KESI WAKATI ZIKIENDELEA KATIKA TELEVISHENI NA REDIO.

Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman 
MAHAKAMA inaangalia uwezekano wa kuruhusu vyombo vya habari kurekodi picha na sauti kuwezesha vituo vya radio na televisheni kuripoti habari za mahakama wakati kesi zinaendelea. Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman alisema jana mahakama inajifunza kutoka kwa nchi zinazoruhusu vituo vya redio na televisheni kurekodi na kuripoti habari wakati kesi zinaendelea. 
Alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jana wakati wa mkutano baina ya Baraza la Vyombo vya...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAWAACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGA

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili),  Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake  Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada  ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika  tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu  kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru leo mchana katika kesi ya...

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH PONDA ASHINDA KESI YA MADAI

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam Novemba 27, 2014  imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self  iliyokuwa inamkabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani