Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi Mahakama ya Wilaya chini ya miembe

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wilayani Mpanda inakabiliwa na changamoto ikiwemo ukosefu wa nyumba vya ofisi hivyo upo uwezekano wa baadhi ya kesi kusikilizwa chini ya miti ya miembe mahakamani hapo . Hii ni kutokana na ofisi ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo kuanza kutumika na Mahakama Kuu ya Tanzania - Kanda ya Sumbawanga kwa ajili ya kusiliza mashauri ya makosa ya jinai .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya madai katika mahakama ya wilaya

Mahakama ya wilaya imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha sheria ya Mahakama Sura ya 11 kama ilivyorejewa mwaka 2002. Mahakama za wilaya zimeanzishwa kwa kusudi la kushughulikia mashauri yaliyopo katika wilaya husika. Kesi husikilizwa na Hakimu wa wilaya au Hakimu Mkazi.

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA CHANJO YA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 WILAYA YA MUFINDI MKOA WA IRINGA WAFANYIKA

 Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Bi MBONI MHITA akizungumza mbele ya wakazi wa kijiji cha Sawala wilayani Mufindi (hawapo pichani),wakati akizindua  chanjo kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Iringa. Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Bi MBONI MHITA akiwa amembeba mtoto mara baada ya kumpa chanjo.wakazi wa kijiji cha Sawala wilayani Mufindi wakimsikiliza  Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Bi Mboni Mhita,mara baada ya kuzindua  chanjo kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama kuondoa mlundikano wa kesi

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi 18 ijayo.

 

11 years ago

Michuzi

shamba linauzwa Kibaha Miembe saba

Shamba linauzwa liko Kibaha sehemu inaitwa miembe saba ina ekari 11 ndani ya eneo kuna majengo, yalikuwa yanatumika kama Hostel za wanafunzi, kutoka barabarani mpaka kwenye eneo ni mita 400 maji na umeme upo. Kwa mawasiliano zaidi piga namba +255 768 906090

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa kesi ya twiga aichezea mahakama

UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kutorosha wanyama hai wakiwamo twiga wanne kwenda Jiji la Doha nchini Qatar inayowakabiliwa washitakiwa wanne akiwamo raia wa Pakistan, Kamran Ahmed, umeiomba mahakama kutoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yabaini upungufu kesi Simba

>Hatima ya wanachama wa Simba kuzuia uchaguzi wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika keshokutwa bado iko shakani baada ya maombi yao kukwama kusikilizwa na Mahakama Kuu jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama: Mtuhumiwa kesi ya twiga akamatwe

Moshi. Mahakama imetoa amri ya kukamatwa raia wa Pakistan, Kamran Ahmed ambaye ni mshtakiwa namba moja katika kesi ya utoroshwaji wa twiga wanne kwenda Uarabuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Madudu ya mahakama katika kesi za ujangili

Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakipiga kelele kuhusu kukithiri kwa ujangili unaotishia kutoweka kwa wanyamapori nchini, baadhi ya mahakimu wamebainika kutoa hukumu zinazokinzana na Sheria ya Wanyamapori namba 5 ya 2009 na ile ya makosa ya uhujumu uchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani