Mahakama yabaini upungufu kesi Simba
>Hatima ya wanachama wa Simba kuzuia uchaguzi wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika keshokutwa bado iko shakani baada ya maombi yao kukwama kusikilizwa na Mahakama Kuu jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 May
Mahakama Kuu bado ina upungufu wa majaji
JAJI Kiongozi Fakhi Jundu amesema Mahakama Kuu bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa majaji, jambo linalosababisha jaji mmoja kusikiliza mashauri mengi kwa mwaka.
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
11 years ago
Habarileo13 May
Mahakama kuondoa mlundikano wa kesi
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi 18 ijayo.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waomba Mahakama kusimamisha kesi ya Escrow
UPANDE wa utetezi katika kesi ya kupokea rushwa ya Sh milioni 323.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma umeiomba Mahakama kusimamisha kesi hadi itakaposikiliza ombi lao.
11 years ago
Habarileo07 Feb
Kesi Mahakama ya Wilaya chini ya miembe
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wilayani Mpanda inakabiliwa na changamoto ikiwemo ukosefu wa nyumba vya ofisi hivyo upo uwezekano wa baadhi ya kesi kusikilizwa chini ya miti ya miembe mahakamani hapo . Hii ni kutokana na ofisi ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo kuanza kutumika na Mahakama Kuu ya Tanzania - Kanda ya Sumbawanga kwa ajili ya kusiliza mashauri ya makosa ya jinai .
10 years ago
BBCSwahili29 Nov
Mahakama kuamua kuhusu kesi ya Mubarak
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Mshtakiwa kesi ya mauaji aiangukia Mahakama
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo
9 years ago
Habarileo18 Dec
Mahakama yafafanua gharama kesi za uchaguzi
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inaweza kupunguza gharama za usikilizwaji wa kesi za uchaguzi endapo, anayefungua kesi atawasilisha maombi ya kuomba apunguziwe gharama hizo au asamehewe, imefahamika.