Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yafafanua gharama kesi za uchaguzi

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inaweza kupunguza gharama za usikilizwaji wa kesi za uchaguzi endapo, anayefungua kesi atawasilisha maombi ya kuomba apunguziwe gharama hizo au asamehewe, imefahamika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Abdallah Mtolea (CUF) kuwa  Mbunge wa jimbo hilo Dar es Salaam. kulia ni msemaji wa wa Timu ya Simba Haji Manara (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Mmliliki wa ujijirahaa blog. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu kulia akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

9 years ago

Mwananchi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yafafanua ongezeko la wapiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ongezeko la wapigakura limetokana na idadi hiyo kuongezeka baada ya kufanya uhakiki kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kabla ya Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

EWURA yafafanua kuhusu hali ya upatikanaji wa mafuta kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

ewura2

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta, (EWURA), Bw. Felix Ngamlagosi.

ewura 1.pdf 

ewura 2.pdf 

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmliki wa St. Mathew aihamisha mahakama kwa gharama zake

court_gavel

Na Mwandishi Wetu, Singida

MDAI katika Kesi ya madai ya talaka Magreth Mwangu  dhidi ya Mkurugenzi wa Shule ya St. Mathew, Thadei Mtembei amehoji uhalali wa mahakama kufikia kukagua mali zake siku ya Jumamosi  bila kupitia mahakama yoyote hapa Singida.

Kesi hiyo ambayo inasikilizwa mahakama ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam, juzi (Jumamosi) ililazimika kuhamia mkoani Singida baada ya mdaiwa (Thadei Mtembei) kuitaka mahakama kuhamia mkoani Singida kwa gharama zake ili kuhakiki...

 

9 years ago

Mwananchi

Uamuzi gharama za kesi ya ubunge Mbagala kutolewa leo

Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa uamzui wa maombi ya tathmini ya gharama za usikilizwaji wa kesi ya ubunge katika kesi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa Jimbo la Mbagala, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakili Minde ashauri gharama za kufungua kesi zipunguzwe

Wakili maarufu mkoani Kilimonjaro, Elizabeth Minde, ameliomba Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kuangalia upya sheria ya gharama za kufungua kesi mahakamani ambazo alisema zimepanda mno na kusababisha wananchi wa kipato cha chini, kushindwa kufungua kesi pale wanapoona haki yao imepokonywa.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria gharama za uchaguzi kung’ata

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisi ya Msajili yakwama ripoti gharama za uchaguzi wa 2010

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeshindwa kutoa ripoti ya gharama za uchaguzi zilizotumiwa na wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwamo ubunge na urais katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2010.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani