Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmliki wa St. Mathew aihamisha mahakama kwa gharama zake

court_gavel

Na Mwandishi Wetu, Singida

MDAI katika Kesi ya madai ya talaka Magreth Mwangu  dhidi ya Mkurugenzi wa Shule ya St. Mathew, Thadei Mtembei amehoji uhalali wa mahakama kufikia kukagua mali zake siku ya Jumamosi  bila kupitia mahakama yoyote hapa Singida.

Kesi hiyo ambayo inasikilizwa mahakama ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam, juzi (Jumamosi) ililazimika kuhamia mkoani Singida baada ya mdaiwa (Thadei Mtembei) kuitaka mahakama kuhamia mkoani Singida kwa gharama zake ili kuhakiki...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hukumu ya Mmliki wa St Mathew yaahirishwa hadi Ijumaa

court_gavel

Na Mwandishi wetu

MAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam,  imeshindwa kutoa hukumu kwenye kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na mkazi wa Singida, Magreth Mwangu dhidi ya Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mathew na St. Marks,Thadei Mtembei.

Katika madai yake ya Msingi, Mwangu anaomba mahakama imuamuru mdaiwa kutoa Sh. Milioni 800 na makazi ya kukaa mdai na watoto wake.

Hakimu wa mahakama hiyo Rajab Tamaambele akiahirisha alisema kwamba mzee...

 

9 years ago

Vijimambo

HUKUMU YA MMLIKI WA ST MATHEW YAAHIRISHWA HADI ALHAMIS.

court_gavelNa Mwandishi wetuMAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam, imeshindwa kutoa hukumu kwenye kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na mkazi wa Singida, Magreth Mwangu dhidi ya Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mathew na St. Marks,Thadei Mtembei.Katika madai yake ya Msingi, Mwangu anaomba mahakama imuamuru mdaiwa kutoa Sh. Milioni 800 na makazi ya kukaa mdai na watoto wake.Hakimu wa mahakama hiyo Rajab Tamaambele akiahirisha alisema kwamba mzee mmoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmliki wa St. Mathew, St. Mark adaiwa talaka na mgawanyo wa mali

court_gavel

Na Mwandishi Wetu

MDAI katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali Magreth Mwangu mkazi wa Mkoani Singida dhidi ya Mkurugenzi wa Shule za sekondari za St.Mathew na St Marks Thadei Mtembei amelalamikia kitendo cha Benki ya CRDB kutoa taarifa zake za benki bila idhini yake wala ya mahakama.

Pia ameilalamikia mahakama ya Mwanzo Kizuiani inayosikiliza kesi hiyo kwa kutumia Wakili wa kujitegemea licha ya kuwa mawakili hawaruhusiwi katika mahakama ya Mwanzo.

Kesi hiyo inasikilizwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mmliki wa St. Mathew achomolewa kesi ya talaka na mgawanyo wa mali

court_gavel

Na Mwandishi wetu

MAHAKAMA ya Mwanzo Mbagala, Dar es Salaam imesema haiwezi kumuamuru Mmiliki wa nne za Shule za Sekondari, St Mathew na St Marks ,Thadei Mtembei kutoa talaka kwa Magreth Mwangu kutokana na ndoa yao kuwa batili.

Akisoma hukumu hiyo leo, Hakimu Rajab Tamambele alisema ndoa aliyofunga Mwangu pamoja na Mtembei ambayo ni ya kimila ni batili kwa kuwa mdai hakutoa cheti cha ndoa hiyo ilipofungwa.

Alisema kwa misingi hiyo, mahakama haiwezi kumuamuru Mtembei kutoa talaka kwani...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI KADI ZA XMAS NA MWAKA MPYA KWA GHARAMA ZAKE

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Christmas na Mwaka Mpya kwa gharama za serikali/umma, kwa mwaka huu.
Balozi Sefue, ameelekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa...

 

9 years ago

Habarileo

Mahakama yafafanua gharama kesi za uchaguzi

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inaweza kupunguza gharama za usikilizwaji wa kesi za uchaguzi endapo, anayefungua kesi atawasilisha maombi ya kuomba apunguziwe gharama hizo au asamehewe, imefahamika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake

Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkazi wa Kinondoni awa mmliki mpya wa Uchumi Supermarkets Tanzania

3

Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi SuperMarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.

Maduka makubwa yanayoongoza Tanzania ya “Uchumi supermarks” leo yameendesha droo ya mwisho ya kampeni yao ijulikanayo kama  “Mimi Mwanahisa promosheni” iliyofanyika katika tawi lake jipya la  Mbezi-Kawe.

Hafla hiyo ilishuhudiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani