Mkazi wa Kinondoni awa mmliki mpya wa Uchumi Supermarkets Tanzania
Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi SuperMarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Maduka makubwa yanayoongoza Tanzania ya “Uchumi supermarks” leo yameendesha droo ya mwisho ya kampeni yao ijulikanayo kama “Mimi Mwanahisa promosheni” iliyofanyika katika tawi lake jipya la Mbezi-Kawe.
Hafla hiyo ilishuhudiwa na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.
Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania, Chriss Lenana akifafanua Jambo...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
9 years ago
TheCitizen14 Oct
Uchumi Supermarkets closes businesses in TZ, Uganda
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Barbara Kambogi wa MultiChoice Tanzania awa mkuu mpya wa Channel ya Maisha Magic Bongo!
Aliyekuwa Meneja Uhusiao wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi amepata nafasi ya juu katika kampuni ya MultiChoice na kuwa Mkuu mpya wa Channeli ya Maisha Magic Bongo.
Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari iliyotumwa leo, Barbara Kambogi amewashukuru na kuwapongeza wanahabari...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_P_ye_pqr0k/XpmYTegq-_I/AAAAAAALnOk/ZcQs47jPrfg_Kn1NCamocRMF8lBKOOPOgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-17%2Bat%2B2.15.32%2BPM.jpeg)
MKAZI WA BUNJU KIZIMBANI AKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-_P_ye_pqr0k/XpmYTegq-_I/AAAAAAALnOk/ZcQs47jPrfg_Kn1NCamocRMF8lBKOOPOgCLcBGAsYHQ/s400/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-17%2Bat%2B2.15.32%2BPM.jpeg)
MFANYABIASHARA Msiniege Mwakatumbula (56), Mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka mawili likiwemo la kukutwa akifanya biashara ya madini isivyo halali mali Serikali na utakatishaji wa fedha.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Mwandamizi Wankyo Simon imedai kuwa, Machi Mosi, 2020 huko katika eneo la Bunju B lililopo...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-1BIq66NTZYU/VnMFlIVetMI/AAAAAAAAVPM/RTUFVaP4vK4/s640/ndovu12.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZMk73Npq4JY/VnMFkHdt44I/AAAAAAAAVPE/6-HoGPr4IZA/s640/ndovu.jpg)
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.
Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i1c3ZHsPxO8/XunwfXx1GbI/AAAAAAALuM4/86ZVrJreKV47j1IqUXfDeCOqYlramCReACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B1.23.19%2BPM.jpeg)
WAZIRI UMMY AITAKA BODI MPYA YA TMDA KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI NA USHAMIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i1c3ZHsPxO8/XunwfXx1GbI/AAAAAAALuM4/86ZVrJreKV47j1IqUXfDeCOqYlramCReACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B1.23.19%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Crdpk_yhG3c/XunxD-eO-XI/AAAAAAALuNQ/_XlN3gNSdH4Mh6yZtDCx-Cd6v7wHgzaMgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B1.25.40%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-TJAwLZZOLUw/XunwhamtAdI/AAAAAAALuNA/gTCtbpjvv6M16lVcVPP0Wa5rt82dYxA0QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B1.26.33%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
10 years ago
MichuziSERIKALI YAMKARIBISHA MWAKILISHI MKAZI MPYA WA JICA NCHINI
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor
ISTANBUL, UTURUKI
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.
Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...