Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barbara Kambogi wa MultiChoice Tanzania awa mkuu mpya wa Channel ya Maisha Magic Bongo!

wpid-IMG_1530

Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi ambaye sasa ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, akiwa katika moja ya shughuli za Dstv hapa nchini  Na Andrew Chale, Modewjiblog

Aliyekuwa Meneja Uhusiao wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi amepata  nafasi ya juu katika kampuni ya MultiChoice na kuwa Mkuu mpya wa Channeli ya Maisha Magic Bongo.

Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari iliyotumwa leo, Barbara Kambogi amewashukuru na kuwapongeza wanahabari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

M-Net kuzindua channel mpya maalum kwa Tanzania, Maisha Magic Bongo (October 1)

Wasanii wa muziki na filamu pamoja na mashabiki wa Tanzania wana kila sababu ya kufurahia kwasababu M-Net imetangaza kuzindua channel mpya maalum kwa Tanzania, itakayoitwa Maisha Magic Bongo. Channel hiyo itazinduliwa Alhamisi ya October 1, 2015 na kupatikana kupitia DStv Channel 160. Mkurugenzi wa M-Net wa kanda ya Afrika mashariki na kusini, Theo Erasmus amevitaja […]

 

9 years ago

Bongo5

Vifahamu vipindi vya channel mpya ya ‘Maisha Magic Bongo’ ya DStv itakayozinduliwa Oct. 1

Zimebaki siku tatu Channel mpya ya Maisha Magic Bongo ya DStv ambayo ni maalum kwa Tanzania izinduliwe rasmi Octoba 1, 2015. Vipindi vitakavyokuwa vikioneshwa kwenye channel hiyo ni vile vitakavyokuwa vimeandaliwa kwaajili ya soko la Tanzania. Channel hiyo itaonekana kupitia DStv Channel 160. Hii ni ratiba ya vipindi vitakavyoonekana kwenye channel hiyo kuanzia Alhamisi hii […]

 

9 years ago

Michuzi

MAISHA MAGIC BONGO IMEFIKA! CHANELI MPYA INAYOZINDULIWA NA M-NET KUWALENGA WATANZANIA.

Kampuni inayoongoza kwa burudani barani Afrika, M-Net inazindua chaneli mpya yenye  kulenga watanzania, itakayokuwa na burudani mbali mbali zenye hadhi ya Kitanzania,  ni  MAISHA MAGIC BONGO itakayoanza kuonekana hewani Octoba 1 saa 10 Alasiri.   Moja ya madhumuni ya M-Net ni kuhakikisha inalifikia soko la wateja wake ikiwemo kuingiza maudhui wanayopenda wateja wake. Chaneli hii mpya inategemea kukidhi mahitaji ya soko la wateja wa Tanzania. Ikihusisha vipindi zaidi ya 6 vitakavyokuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAISHA MAGIC BONGO: Imefika mpya kutoka M-NET kuwalenga Watanzania ndani ya DSTV chaneli 160!

DSC_2017

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa Chaneli mpya ya Maisha Magic Bongo ambayo inaanza kuonekana leo Oktoba Mosi kupitia DSTV Chaneli 160, kwa wateja wa DStv. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Mwendeshaji Mkuu wa M-NET kwa Afrika Mashariki, Bi Lisa Venter. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

DSC_2025Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania,...

 

9 years ago

TheCitizen

From a thousand stars to Maisha Magic Bongo

But it was not all fun and games. With journalists coming from almost every corner of Africa there were bound to be some thorny issues at hand.

 

10 years ago

Bongo5

M-Net kuifunga Maisha Magic, kurudisha nguvu kwenye Maisha Magic Swahili

Kampuni ya M-Net imeamua kuchukua uamuzi mgumu kwa kutangaza kuwa itaifunga channel yake iliyoanzishwa mwaka jana, Maisha Magic. Sababu za kuifunga, ni kutokana na kushindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa ikitarajiwa. Channel ya Maisha Magic itafungwa mwishoni mwa March 2015. “Bahati mbaya, Maisha Magic haijafanikiwa na kukua kama matarajio yetu yalivyokuwa. Kwa jumla, channel ilishindwa kufikia […]

 

9 years ago

Michuzi

DStv YAJA NA CHANELI YA MAISHA MAGIC BONGO, KWA AJILI YA WATANZANIA

D3A_5097Mkurugenzi M-Net Kanda ya Afrika Magharibi, Wangi Mba-Uzoukwu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice hivi karibuni nchini Mauritius.D3A_5116Mkurugenzi wa M-Net kwa nchi za Afrika Mashariki na SADC, Theo Erasmus akifurahi jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
Na Modewjiblog,...

 

9 years ago

GPL

DSTV YAJA NA CHANELI YA MAISHA MAGIC BONGO, KWA AJILI YA WATANZANIA‏

Mkurugenzi M-Net Kanda ya Afrika Magharibi, Wangi Mba-Uzoukwu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice hivi karibuni nchini Mauritius. Mkurugenzi wa M-Net kwa nchi za Afrika Mashariki na SADC, Theo Erasmus akifurahi jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Bongo5

Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic

Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani