Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor
ISTANBUL, UTURUKI
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.
Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha mchezaji …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Antalyaspor umempata majukumu mapya Samuel Eto’o ya kuwa kocha wa muda wa kikosi hiko. Stori kutoka mtandao wa cameroononline.com unaeleza kuwa Eto’o atakuwa kocha mchezaji wa […]
The post Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha...
9 years ago
Bongo512 Oct
Sam Allardyce awa kocha mpya wa Sunderland
9 years ago
Bongo517 Dec
Eto’o ateuliwa kuwa kocha Uturuki
![eto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/eto-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
Eto’o atakuwa anasaidiana na mkufunzi wa timu ya vijana ambaye pia ni mkurugenzi wa ufundi Mehmet Ugurlu.
Atapewa kazi hiyo kwa mkataba wa muda mrefu iwapo klabu hiyo itafanya vyema kwenye mechi tatu kabla ya mapumziko mafupi ya majira ya baridi.
Eto’o alijiunga na timu ya Antalyaspor kama mchezaji huru Juni 25 kwa mkataba wa miaka mitatu na alicheza mechi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcIezKNj4s2GwZTnTt68yQJJ*Uzkw-R0ib41qljU1RkC28nN30359nILZRpLgHB6fFl6205cS2lVmu4hg6FvPnoc/MILOVAN.jpg?width=650)
Milovan awa kocha wa timu ya taifa
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Nyambui awa kocha wa riadha - Brunei
10 years ago
Habarileo02 Dec
Profesa Assad awa CAG mpya
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
11 years ago
Habarileo07 Aug
Mukoba awa Rais mpya Tucta
MKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Biswalo Mganga awa DPP mpya
10 years ago
MichuziHALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA