Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha mchezaji …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Antalyaspor umempata majukumu mapya Samuel Eto’o ya kuwa kocha wa muda wa kikosi hiko. Stori kutoka mtandao wa cameroononline.com unaeleza kuwa Eto’o atakuwa kocha mchezaji wa […]
The post Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor
ISTANBUL, UTURUKI
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.
Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...
9 years ago
Bongo517 Dec
Eto’o ateuliwa kuwa kocha Uturuki
![eto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/eto-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
Eto’o atakuwa anasaidiana na mkufunzi wa timu ya vijana ambaye pia ni mkurugenzi wa ufundi Mehmet Ugurlu.
Atapewa kazi hiyo kwa mkataba wa muda mrefu iwapo klabu hiyo itafanya vyema kwenye mechi tatu kabla ya mapumziko mafupi ya majira ya baridi.
Eto’o alijiunga na timu ya Antalyaspor kama mchezaji huru Juni 25 kwa mkataba wa miaka mitatu na alicheza mechi...
9 years ago
BBCSwahili07 Jan
Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)
Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]
The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
9 years ago
Bongo528 Oct
Hii ndio sababu inayomkwamisha Walter Chilambo
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Hii ndio sababu dunia inawahitaji 'mabibi wa Instagram'
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HIr13vdanzs/default.jpg)