Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha
Nahodha wa zamani wa Cameroon Eto'o amepokonywa majukumu ya ukufunzi katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha mchezaji …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Antalyaspor umempata majukumu mapya Samuel Eto’o ya kuwa kocha wa muda wa kikosi hiko. Stori kutoka mtandao wa cameroononline.com unaeleza kuwa Eto’o atakuwa kocha mchezaji wa […]
The post Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor
ISTANBUL, UTURUKI
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.
Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Eto’o apewa kazi ya ukufunzi Uturuki
9 years ago
Bongo517 Dec
Eto’o ateuliwa kuwa kocha Uturuki
![eto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/eto-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
Eto’o atakuwa anasaidiana na mkufunzi wa timu ya vijana ambaye pia ni mkurugenzi wa ufundi Mehmet Ugurlu.
Atapewa kazi hiyo kwa mkataba wa muda mrefu iwapo klabu hiyo itafanya vyema kwenye mechi tatu kabla ya mapumziko mafupi ya majira ya baridi.
Eto’o alijiunga na timu ya Antalyaspor kama mchezaji huru Juni 25 kwa mkataba wa miaka mitatu na alicheza mechi...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
58 wafuzu mafunzo ya ukocha
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Kibadeni astaafu rasmi ukocha
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/kibadeni-November19-2013.jpg)
Akizungumza na NIPASHE jijini Dar es Salaam jana, Kibadeni mwenye rekodi pekee ya kufunga mabao matatu katika mechi moja (hat-trick) inayohusisha watani wa jadi, Simba na Yanga, alisema amechukua uamuzi wa kuachana na ukocha ili kuepuka malumbano na kuzongwa na viongozi...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wahitimu ukocha wapewa somo
WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.
11 years ago
Mwananchi01 Aug
UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Matola ajiuzulu ukocha Simba