Eto’o apewa kazi ya ukufunzi Uturuki
Nyota wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kaimu mkufunzi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Eto’o ateuliwa kuwa kocha Uturuki
![eto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/eto-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.
Eto’o atakuwa anasaidiana na mkufunzi wa timu ya vijana ambaye pia ni mkurugenzi wa ufundi Mehmet Ugurlu.
Atapewa kazi hiyo kwa mkataba wa muda mrefu iwapo klabu hiyo itafanya vyema kwenye mechi tatu kabla ya mapumziko mafupi ya majira ya baridi.
Eto’o alijiunga na timu ya Antalyaspor kama mchezaji huru Juni 25 kwa mkataba wa miaka mitatu na alicheza mechi...
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Thiery Henry kupewa kazi ya ukufunzi
10 years ago
Vijimambo14 May
Ngassa apewa kazi ya kufunga mabao
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2716020/highRes/1012395/-/maxw/600/-/kqw62ez/-/ngasa+picha.jpg)
Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.AMEZOELEKA kucheza nafasi ya winga hapa Tanzania, lakini ameandaliwa majukumu ya straika kule Afrika Kusini.Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.Kocha huyo amesema:
“Nimeanza...
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Uturuki yasema iko tayari kufanya kazi na Urusi
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gBpBKzuJkxg/UzWi99axNLI/AAAAAAAFXC0/1-e_p57UPL8/s72-c/unnamed+(58).jpg)
JUST IN: KAMPUNI KUBWA ZA UJEZI ZA UTURUKI ZAVUTIWA KUFANYA KAZI TANZANIA
10 years ago
Jamtz.Com9 years ago
BBCSwahili07 Jan
Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Eto’o awa kocha mpya Antalyaspor
ISTANBUL, UTURUKI
NYOTA wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu ya Antalyaspor ambayo inashiriki ligi ya nchini Uturuki.
Nyota huyo alijiunga na klabu hiyo Juni, mwaka huu, akiwa kama mchezaji wa kawaida, lakini kwa sasa amepewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa muda akichukua nafasi ya kocha Yusuf Simsek.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ambaye aliwahi kukipiga katika klabu ya Chelsea, alisaini mkataba wa miaka...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s72-c/index-3.jpg)
RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s640/index-3.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/b-3.jpg)
************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...