Thiery Henry kupewa kazi ya ukufunzi
Arsenal ina mpango wa kumpatia aliyekuwa mshambulizi wa timu hiyo Thiery Henry fursa ya ukufunzi katika timu hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Thiery Henry adai Arsenal itatwaa ubingwa wa EPL msimu huu
![TH](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/TH-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo516 Dec
Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka kwenye TV anayelipwa fedha nyingi zaidi UK
![1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka anayelipwa fedha nyingi zaidi nchini Uingereza.
Sky Sport wanamlipa pauni milioni nne kila mwaka katika mkataba wake wa miaka sita.
Pamoja na kuwa nao, mkataba wake unamruhusu kufanya kazi hiyo na vituo vya runinga vingine.
Tayari imefahamika kuwa BBC Sport wanatarajia kumtangaza kama mchambuzi wao wa European Championship.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Eto’o apewa kazi ya ukufunzi Uturuki
10 years ago
Habarileo26 Nov
Wasichana wa kazi Uganda kupewa vyeti vya kazi
INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale Kayihura, ameagiza Jeshi la Polisi kuanza kutoa vyeti kwa wasichana wa nyumbani, wakati Umoja wa Mataifa (UN), ukitaka Serikali ya Uganda kuchukua hatua dhidi ya msichana wa kazi, aliyemtesa mtoto kwa kumpiga, kumtupa chini na kumkanyaga.
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Henry aimezea mate kazi ya Arsene Wenger
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Waliopoteza Ubunge ACT kupewa kazi maalum
10 years ago
Habarileo17 Apr
CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Thierry Henry ni ''Mwalimu'' ?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSitrtiUwsRHUZTmSjV-I8yEEA71tIx4C-Ms-u*2FWxHfPK5f7tnlm8mx8a6LuFE0-ei*TFFr3xXUj98eKOqECy/HENNRYJOSEPH.jpg?width=600)
Henry Joseph aitesa Simba