Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Thiery Henry adai Arsenal itatwaa ubingwa wa EPL msimu huu

THMchezaji wa zamani wa Arsenal, Thiery Henry ameda ana imani kuwa Arsenal wanapaswa kutwaa ubingwa wa EPL mwaka huu. Kwa sasa Arsenal wanashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo Manchester City lakini wakitofautiana kwa idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga huku wakishinda michezo yao yote minne ya mwisho ya ligi. Alipokuwa akiongea […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Thiery Henry kupewa kazi ya ukufunzi

Arsenal ina mpango wa kumpatia aliyekuwa mshambulizi wa timu hiyo Thiery Henry fursa ya ukufunzi katika timu hiyo

 

9 years ago

Bongo5

Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka kwenye TV anayelipwa fedha nyingi zaidi UK

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka anayelipwa fedha nyingi zaidi nchini Uingereza.

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Sky Sport wanamlipa pauni milioni nne kila mwaka katika mkataba wake wa miaka sita.

Pamoja na kuwa nao, mkataba wake unamruhusu kufanya kazi hiyo na vituo vya runinga vingine.

Tayari imefahamika kuwa BBC Sport wanatarajia kumtangaza kama mchambuzi wao wa European Championship.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz …

Baada ya michezo tisa ya Ligi Kuu Uingereza kupigwa Jumamosi ya December 26 siku ya Boxing Day, ulibakia mchezo mmoja ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26. Mchezo ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26 ni mechi kati ya Southampton dhidi ya Arsenal katika dimba la St Mary’s lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki […]

The post Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.

 

10 years ago

BBCSwahili

Henry ataka kuisaidia Arsenal

Uwezekano wa Thiery Henry kujiunga na Arsenal kama mkufunzi umeongezeka baada ya kusema anataka kusaidia timu hiyo kushinda taji

 

10 years ago

Mwananchi

Thierry Henry, Pires, mabosi Arsenal kutua Tanzania

Uongozi wa Arsenal jana umeanza mazungumzo rasmi na kampuni 20 nchini kwa lengo la kufungua uhusiano wa kibiashara, lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kutamba watapata fursa ya kutembelea Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

EPL: Arsenal yapaa kileleni

Washika bunduki wa London, Arsenal wamekaa kileleni mwa ligi ya England kwa pointi 39 baada ya kuichapa Bournemouth kwa mabao 2-0.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yawashangaza mabingwa wa EPL

Santi Carzola alifunga bao moja na kutengeza jengine na kuisadia Arsenal kuicharaza Mancity mabao 2-0 nyumbani Manchester.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani