Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka kwenye TV anayelipwa fedha nyingi zaidi UK

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka anayelipwa fedha nyingi zaidi nchini Uingereza.

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Sky Sport wanamlipa pauni milioni nne kila mwaka katika mkataba wake wa miaka sita.

Pamoja na kuwa nao, mkataba wake unamruhusu kufanya kazi hiyo na vituo vya runinga vingine.

Tayari imefahamika kuwa BBC Sport wanatarajia kumtangaza kama mchambuzi wao wa European Championship.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je ni msanii yupi anayelipwa pesa nyingi zaidi ?

Robert Downey Jr awapiku Jackie Chan na Tom Cruise katika orodha ya Forbes ya wasanii waliopokea mshahara mkubwa zaidi

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014

Beyonce ndiye mwanamke kwenye muziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2014. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mke huyo wa Jay Z ameingiza dola milioni 115 mwaka huu ikiwa ni zaidi ya nusu ya aliyoingiza mwaka jana. Fedha hizo zimepatikana zaidi kutokana na ziara yake ya muziki duniani na hivyo kumpiku Taylor Swift ambaye mwaka […]

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Capello ndiye kocha anayelipwa mshahara mnono zaidi Brazil

Rio de Janeiro. Fainali za Kombe la Dunia zinafunguliwa leo nchini Brazil huku macho na masikio yakielekezwa kwa nyota 736 kutoka timu 32 zinazoshiriki ili kuona ni kitu gani watafanya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Thiery Henry kupewa kazi ya ukufunzi

Arsenal ina mpango wa kumpatia aliyekuwa mshambulizi wa timu hiyo Thiery Henry fursa ya ukufunzi katika timu hiyo

 

9 years ago

Bongo5

Thiery Henry adai Arsenal itatwaa ubingwa wa EPL msimu huu

THMchezaji wa zamani wa Arsenal, Thiery Henry ameda ana imani kuwa Arsenal wanapaswa kutwaa ubingwa wa EPL mwaka huu. Kwa sasa Arsenal wanashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo Manchester City lakini wakitofautiana kwa idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga huku wakishinda michezo yao yote minne ya mwisho ya ligi. Alipokuwa akiongea […]

 

11 years ago

Bongo5

Forbes: Waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi 2014

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao ni kama wafuatao: Robert Downey, Jr. Robert Downey, Jr. $75 million Dwayne Johnson ‘The Rock’ $52 million Bradley Cooper $46 million Leonardo DiCaprio $39 million Chris Hemsworth $37 million Liam Neeson $36 million Ben Affleck $35 million Christian Bale […]

 

9 years ago

Bongo5

Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL

Hii ni orodha ya nyota wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye ligi kuu, ya Uingereza. Wayne Rooney analipwa pauni 260,000 kwa wiki Wastani wa mshahara kwa kila mchezaji wa katika ligi hiyo ni pauni 44,000 kwa wiki ambazo ni sawa na pauni milioni 2.29 kwa mwaka lakini vilabu vikubwa hulipa zaidi ya hivyo. Sergio Aguero huchukua pauni […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Floyd mwanamichezo anayelipwa zaidi

Floyd Mayweather Jr ndiye mwanamichezo aliyeingiza pesa nyingi katika kipindi cha miezi 12 iliyopita jarida la Forbes laeleza.

 

11 years ago

GPL

MAYWEATHER MWANAMICHEZO ANAYELIPWA DAU KUBWA ZAIDI DUNIANI

Floyd Mayweather Jnr, akiwa katika gari lake aina ya Bugatti Vevron lenye thamani ya pauni milioni 1.8 (  sh bilioni 5) akiondoka katika Fainali za  Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) huko Miami, Marekani.
Akiwa na mkwanja wakati anaondoka katika fainali za Ligi ya NBA.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani