Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAYWEATHER MWANAMICHEZO ANAYELIPWA DAU KUBWA ZAIDI DUNIANI

Floyd Mayweather Jnr, akiwa katika gari lake aina ya Bugatti Vevron lenye thamani ya pauni milioni 1.8 (  sh bilioni 5) akiondoka katika Fainali za  Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) huko Miami, Marekani.
Akiwa na mkwanja wakati anaondoka katika fainali za Ligi ya NBA.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Floyd mwanamichezo anayelipwa zaidi

Floyd Mayweather Jr ndiye mwanamichezo aliyeingiza pesa nyingi katika kipindi cha miezi 12 iliyopita jarida la Forbes laeleza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meli kubwa zaidi duniani yatia nanga UK

Meli kubwa duniani ''The Globe'' imetia nanga Uingereza ikiwa katika safari maeneo mbalimbali duniani

 

10 years ago

BBCSwahili

Je ni msanii yupi anayelipwa pesa nyingi zaidi ?

Robert Downey Jr awapiku Jackie Chan na Tom Cruise katika orodha ya Forbes ya wasanii waliopokea mshahara mkubwa zaidi

 

9 years ago

Bongo5

Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka kwenye TV anayelipwa fedha nyingi zaidi UK

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka anayelipwa fedha nyingi zaidi nchini Uingereza.

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Sky Sport wanamlipa pauni milioni nne kila mwaka katika mkataba wake wa miaka sita.

Pamoja na kuwa nao, mkataba wake unamruhusu kufanya kazi hiyo na vituo vya runinga vingine.

Tayari imefahamika kuwa BBC Sport wanatarajia kumtangaza kama mchambuzi wao wa European Championship.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Capello ndiye kocha anayelipwa mshahara mnono zaidi Brazil

Rio de Janeiro. Fainali za Kombe la Dunia zinafunguliwa leo nchini Brazil huku macho na masikio yakielekezwa kwa nyota 736 kutoka timu 32 zinazoshiriki ili kuona ni kitu gani watafanya.

 

9 years ago

Bongo5

Floyd Mayweather aonesha jeuri ya ‘parking’ ya magari aghali duniani!!

Bondia Floyd Mayweather, 38, ambaye anajiandaa na pambano lake la mwisho dhidi ya Andre Berto litakalofanyika MGM Granda mjini Las Vegas, Septemba 12, ameonesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.6 kwa pamoja katika klabu yake ya masumbwi mjini Las Vegas, Nevada. Magari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2

1214-floyd-mayweather-tmz-2

Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.

1214-floyd-mayweather-tmz-2

Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.

Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”

Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.

1214-subasset-floyd-mayweather-tmz-2

Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.

Hii ni mara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani