Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Henry Joseph aitesa Simba

Henry Joseph.
Na Hans Mloli
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amesema ni pengo kubwa kwa Henry Joseph kukosekana kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea huko Zanzibar. Henry hakuweza kuungana na timu hiyo iliyoondoka wiki iliyopita kuelekea visiwani humo huku ofisa habari wa klabu hiyo, Stanley Phillip, akibainisha kuwa, matatizo ya kifamilia ndiyo yaliyomzuia kiungo huyo kujiunga na Wekundu hao....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Henry Joseph azua balaa Simba SC

Kiungo wa Simba, Henry Joseph. Na Sweetbert Lukonge
KIUNGO wa Simba, Henry Joseph, amezua balaa katika kikosi cha timu hiyo baada ya kuonyesha uwezo wa kumudu na kucheza kwa ufanisi mkubwa nafasi mbalimbali uwanjani. Hali hiyo imewaogopesha baadhi ya wachezaji wenzake na kuwafanya wahofie kupoteza nafasi zao katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambayo inafundishwa na Mcroatia, Zdravko Lagarusic. Baadhi ya wachezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa aitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeunda timu ya kuwachunguza makada wake wanaodaiwa kutangaza nia ya kuwania uongozi kabla ya wakati, na wanaomwaga fedha kwa wajumbe wa mkutano mkuu ili kuwashawishi wawaunge...

 

9 years ago

Michuzi

St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam

Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya St Joseph convent school  ya jijini Dar es salaam iliyodumu kuanzia mwaka 1932 hadi 1969 . Na Forodhani Sekondari  ilyokuwapo kati ya 1970 hadi 2008 ( ilipotaifishwa na serikali) na baada ya hapo St Joseph Cathedral High school 2009 (baada ya kurudishwa kwa kanisa Katoliki)  hadi leo, tumeungana  na kuitwa  St. Joseph & Forodhani  ALUMNI .

St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Thierry Henry ni ''Mwalimu'' ?

Thierry Henry aliwashangaza wanafunzi katika shule moja nchini Wales alipoingia darasani akiwa amevalia nywele bandia na miwani

 

11 years ago

GPL

Henry, Berko wamgomea Logarusic

Na John Joseph, Tanga WACHEZAJI wakongwe wa Simba, Henry Joseph na Yaw Berko, jana walisusa kwenda kwenye vyumba baada ya kipenga cha mapumziko kupulizwa. Wachezaji hao ambao wote hawakuanza kwenye mchezo dhidi ya Mgambo ambao timu yao ililala kwa bao 1-0, waligoma kwenda kwenye vyumba kama inavyotakiwa huku wakibaki wamekaa kwenye benchi wakilalamika. Wachezaji hao walionyesha kuwa kuna hali ya mambo ambayo haiendi vizuri kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Henry ataka kuisaidia Arsenal

Uwezekano wa Thiery Henry kujiunga na Arsenal kama mkufunzi umeongezeka baada ya kusema anataka kusaidia timu hiyo kushinda taji

 

9 years ago

Dewji Blog

Henry na Carragher wamshangaa Van Gaal

thierry-henry-jamie-carragher-di

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry na mwenzake wa Liverpool, Jamie Carragher ambao kwa sasa ni wachambuzi wa soka katika kituo cha michezo, Sky Sports wamemshangaa kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal kwa jinsi anavyomtumia mchezaji wake, Antony Martial.

Wakiwa katika kipindi cha michezo katika kituo hicho wakati wakimzungumzia Martial kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita ambapo Manchester United ilipoteza mchezo huo mbele ya Norwich kwa kipigo cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Thiery Henry kupewa kazi ya ukufunzi

Arsenal ina mpango wa kumpatia aliyekuwa mshambulizi wa timu hiyo Thiery Henry fursa ya ukufunzi katika timu hiyo

 

10 years ago

Mtanzania

Kiwango cha Cazorla chamkuna Thierry Henry

Santi-CazorlaMANCHESTER, England

GWIJI wa Arsenal, Thierry Henry anaamini Santi Cazorla amekuwa ‘mtaamu’ sana uwanjani na kiwango chake ndicho kilichangia timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa Etihad juzi.
Akizungumza katika mechi yake ya kwanza kama mchambuzi wa soka wa kituo cha televisheni cha Skysport, Henry alidai Cazorla ndiye alikuwa msingi wa kiwango bora kilichoonyeshwa na Arsenal katika mechi hiyo.
Cazorla alifunga bao la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani