Henry Joseph azua balaa Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHtu1ugjXGeOhm6ldj4pkO-E4ZJ7P9GQvAeUCSHvYrdL6iN69sw9zvm9IE8YNsDDM0RnTrcGPqQVEu9kffTQKa3P/JOSEPH.jpg?width=600)
Kiungo wa Simba, Henry Joseph. Na Sweetbert Lukonge KIUNGO wa Simba, Henry Joseph, amezua balaa katika kikosi cha timu hiyo baada ya kuonyesha uwezo wa kumudu na kucheza kwa ufanisi mkubwa nafasi mbalimbali uwanjani. Hali hiyo imewaogopesha baadhi ya wachezaji wenzake na kuwafanya wahofie kupoteza nafasi zao katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambayo inafundishwa na Mcroatia, Zdravko Lagarusic. Baadhi ya wachezaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSitrtiUwsRHUZTmSjV-I8yEEA71tIx4C-Ms-u*2FWxHfPK5f7tnlm8mx8a6LuFE0-ei*TFFr3xXUj98eKOqECy/HENNRYJOSEPH.jpg?width=600)
Henry Joseph aitesa Simba
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Diamond azua balaa Ujerumani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi-LBRk1vIDN9kYEotX513jG6D40pu1HCk0MShqNz0XwTKI4fKUvffZsijsAC75X7VCh7i9fW9WLmDk9osHO8U2y/amanda.jpg)
AMANDA AZUA BALAA MTAANI
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Nape azua balaa Singida
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nauye, pamoja na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Singida, Musa Sima, wanadaiwa kuwaongoza vijana wa ulinzi...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Mwambusi azua balaa Mbeya City
UAMUZI wa kujiuzulu kuinoa klabu ya Mbeya City aliochukua kocha mkuu Juma Mwambusi, umeibua hali ya sintofahamu ndani ya kikosi hicho, huku uongozi wa juu wa timu hiyo ukisisitiza kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3IBchAfaWoyf6nyCCY3asF9yvbQ6nm-h9y7ej7W-SpELamTTMzFzWueCjotPzub9lWNlCMutgJ0TPiK5R96Obrb/KAMBI.jpg)
Kambi ya Simba ni balaa!
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Simba yazua balaa Mbeya
PRESHA ya mechi ya Ligi Kuu ya Bara kati ya Simba na Mbeya City itakayopigwa leo Uwanja wa Sokoine mjini hapa, imezua balaa kwa wenyeji kiasi cha kutimuana. Kisa ni...
10 years ago
GPLSIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA