Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
 Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa...

 

10 years ago

Michuzi

KMKM YALALA KWA BAO 3-1 DHIDI YA GOR MAHIA YA KENYA

Beki wa Timu ya Gor Mahia ya Nchini Kenya, Harun Shakava (18) akizuia mpira uliokuwa ukimilikiwa na Kiungo wa Timu ya KMKM ya Zanzibar, Iddi Kambi Iddi (6) wakati wa mtanange wa Mashindano ya Cecafa Kagame Cup uliopigwa jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Gor Mahia imeshinda bao 3-1.Wachezaji wa Timu ya Gor Mahia ya Nchini Kenya, Aucho Khalid (10) na Karim Nizigiyimana (14) wakishangilia ushindi wao dhidi ya timu ya KMKM ya Zanzibar, katika mtanange wa Mashindano ya Cecafa...

 

10 years ago

Michuzi

AZAM FC YATWAA UBINGWA WA CECAFA KAGAME CUP 2015 KWA KUICHAPA GOR MAHIA YA KENYA BAO 2-0


Wachezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam wakisherehekea ubingwa wao wa Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, mara baada ya kuitungua timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya Bao 2-0, katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo.Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Mhe. Eugene Segore Kayihura (wa pili kulia) akikabidhi kitita cha Dola za Kimarekani eflu 30 kwa Nahodha wa Timu ya Azam FC, John Bocco "Adebayor" ikiwa ni zawadi ya ushindi wa kwanza iliyotolewa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Gor Mahia zaitega Simba

Asali ni tamu, lakini inapowekwa kwenye ncha ya kisu humpa wakati mgumu mtu kuilamba au kutoilamba kwani japo huitamani, lakini pia anaweza kujikuta akikatwa na kisu.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yarudi Dar kuikabili Gor Mahia

Timu ya Simba inarudi jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, huku kocha Patrick Phiri akitarajia kuwatumia washambuliaji wake wapya wa kigeni Mkenya Raphael Kiongera na Mganda Emanuel Okwi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Esperance 5-0 Gor Mahia (8-2)

Esperance ya Tunisia iliinyeshea Gor Mahia ya Kenya mabao 5-0 katika mechi ya mkondo wa pili ya kuwania ubingwa wa Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Azam vs Gor Mahia

Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

TheCitizen

Gor Mahia, KCCA for Mapinduzi

Two foreign teams are expected to compete in the 2016 Mapinduzi Cup kicking off on January 2 in Zanzibar, it has been revealed.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani