Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yarudi Dar kuikabili Gor Mahia

Timu ya Simba inarudi jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, huku kocha Patrick Phiri akitarajia kuwatumia washambuliaji wake wapya wa kigeni Mkenya Raphael Kiongera na Mganda Emanuel Okwi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
 Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Gor Mahia zaitega Simba

Asali ni tamu, lakini inapowekwa kwenye ncha ya kisu humpa wakati mgumu mtu kuilamba au kutoilamba kwani japo huitamani, lakini pia anaweza kujikuta akikatwa na kisu.

 

10 years ago

GPL

SIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Azam vs Gor Mahia

Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Esperance 5-0 Gor Mahia (8-2)

Esperance ya Tunisia iliinyeshea Gor Mahia ya Kenya mabao 5-0 katika mechi ya mkondo wa pili ya kuwania ubingwa wa Afrika.

 

9 years ago

TheCitizen

Gor Mahia, KCCA for Mapinduzi

Two foreign teams are expected to compete in the 2016 Mapinduzi Cup kicking off on January 2 in Zanzibar, it has been revealed.

 

10 years ago

Vijimambo

GOR MAHIA HAIKAMATIKI YAIFUNGA KMKM 3-1

Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Mateo Simon, akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Gor Mahi ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande).
 Beki wa Gor Mahia, Karim Nizigiyimana akimtoka  Juma Mbwana Faki.

 Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Juma Mbwana Faki akimtoka kipa wa Gor Mahia ya Kenya, Boniface Oluoch.
 Mchezaji wa KMKM, Pandu Haji Pandu akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya,...

 

10 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Yanga kumenyana na Gor Mahia

Huku michuano ya kombe la CECAFA mwaka huu ikianza siku ya jumamosi mjini Dar es Salaam,mechi tatu zitachezwa lakini kati yazo hakuna iliojaa mbwembwe kama ile ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani