Esperance 5-0 Gor Mahia (8-2)
Esperance ya Tunisia iliinyeshea Gor Mahia ya Kenya mabao 5-0 katika mechi ya mkondo wa pili ya kuwania ubingwa wa Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Ni Azam vs Gor Mahia
Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
TheCitizen21 Dec
Gor Mahia, KCCA for Mapinduzi
Two foreign teams are expected to compete in the 2016 Mapinduzi Cup kicking off on January 2 in Zanzibar, it has been revealed.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
CECAFA:Gor Mahia yainyamazisha Yanga
Mabingwa wa ligi ya soka nchini Kenya Gor Mahia walitoka nyuma na kuinyamazisha timu ya yanga kutoka Tanzania 2-1 katika mechi yao ya ufunguzi wa kombe la CECAFA katika uwanja wa kitaifa wa Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboGOR MAHIA HAIKAMATIKI YAIFUNGA KMKM 3-1
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXmljrXAsUgoPg5fRoxXrropogq0hYnxrl2BHD2Z0QdlY5I3ePVEkIBAGtX7BUMC6NYHJSQuR4cXqnTldAqbudy/Untitled1.jpg)
Gor Mahia yamuita Tambwe Nairobi
Amissi Tambwe Na Martha Mboma
UONGOZI wa Gor Mahia ya Kenya, umetuma maombi Simba ukitaka kumchukua Amissi Tambwe kwa mkopo.
Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba zimeeleza, Gor Mahia wamewaambia Simba wawape Tambwe ambaye ni mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita. Gor Mahia ambao ni mabingwa wa Kenya wanataka Tambwe azibe pengo la Danny Sserunkuma ambaye amejiunga na Simba.Championi Jumatano lilimsaka Mwenyekiti wa...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Simba, Gor Mahia dimbani leo
Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.
10 years ago
Habarileo01 Aug
Ni Azam, Gor Mahia fainali ya Kagame
AZAM imetinga fainali za kombe la Kagame kwa mara ya pili na sasa itacheza na Gormahia ya Kenya katika fainali zitakazochezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
TheCitizen01 Aug
Azam to face Gor Mahia in final
Azam FC booked a place in the final of the 2015 Cecafa Kagame Cup after beating hard-fighting KCCA of Uganda 1-0 at the National Stadium yesterday.
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
CECAFA:Gor Mahia kuchuana na Azam
Kilabu ya Azam kutoka Tanzania imefuzu katika fainali ya kombe la Kagame CeCAFA baada ya kuindoa KCCA ya Uganda kwa bao moja kwa bila katika mechi ya nusu fainali ya pili iliochezwa katika uwanja wa kitaifa wa Dar-es-Salaam nchini Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania