Gor Mahia yamuita Tambwe Nairobi
![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXmljrXAsUgoPg5fRoxXrropogq0hYnxrl2BHD2Z0QdlY5I3ePVEkIBAGtX7BUMC6NYHJSQuR4cXqnTldAqbudy/Untitled1.jpg)
Amissi Tambwe Na Martha Mboma UONGOZI wa Gor Mahia ya Kenya, umetuma maombi Simba ukitaka kumchukua Amissi Tambwe kwa mkopo. Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba zimeeleza, Gor Mahia wamewaambia Simba wawape Tambwe ambaye ni mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita. Gor Mahia ambao ni mabingwa wa Kenya wanataka Tambwe azibe pengo la Danny Sserunkuma ambaye amejiunga na Simba.Championi Jumatano lilimsaka Mwenyekiti wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Ni Azam vs Gor Mahia
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Esperance 5-0 Gor Mahia (8-2)
9 years ago
TheCitizen21 Dec
Gor Mahia, KCCA for Mapinduzi
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Gor Mahia na Afc Leopards uwanjani
11 years ago
TheCitizen18 Feb
Cecafa salutes Yanga, Gor Mahia
10 years ago
Habarileo01 Aug
Ni Azam, Gor Mahia fainali ya Kagame
AZAM imetinga fainali za kombe la Kagame kwa mara ya pili na sasa itacheza na Gormahia ya Kenya katika fainali zitakazochezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
TheCitizen01 Aug
Azam to face Gor Mahia in final
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Simba, Gor Mahia dimbani leo
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
CECAFA:Gor Mahia kuchuana na Azam