Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
 Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Gor Mahia zaitega Simba

Asali ni tamu, lakini inapowekwa kwenye ncha ya kisu humpa wakati mgumu mtu kuilamba au kutoilamba kwani japo huitamani, lakini pia anaweza kujikuta akikatwa na kisu.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yarudi Dar kuikabili Gor Mahia

Timu ya Simba inarudi jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, huku kocha Patrick Phiri akitarajia kuwatumia washambuliaji wake wapya wa kigeni Mkenya Raphael Kiongera na Mganda Emanuel Okwi.

 

10 years ago

GPL

SIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA BAADA YA KUGEUZWA MASALO NA GOR MAHIA LEO WAKEUKA MCHARO


Baada ya mchezo wa ufunguzi kugeuzwa chachandu na Gor Mahia kwa kuchapwa 2 kwa 1 leo Yanga wamegeuka mcharo baada ya kuwageuza Telecom ya Djibouti chips mayai 3 na pia wakikosa penati 2. Hili swala la penati limekuwa gonjwa ndani ya miguu ya wachezaji wa timu ya Yanga ukikumbuka hii ni penati ya 3 wanakosa katika michezo miwili, mchezo wa ufunguzi na Gor Mahia walikosa moja na leo wamekosa penati 2 wakosaji wa penati hizo ni Msuva na Tambwe. Nikijana mzarendo aliesajiliwa kutoka Mgambo JKT...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba dimbani leo, City yatulizwa

Baada ya kupokea vipigo wiki iliyopita, Simba na Ruvu Shoooting leo zinakutana katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Azam vs Gor Mahia

Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Esperance 5-0 Gor Mahia (8-2)

Esperance ya Tunisia iliinyeshea Gor Mahia ya Kenya mabao 5-0 katika mechi ya mkondo wa pili ya kuwania ubingwa wa Afrika.

 

9 years ago

TheCitizen

Gor Mahia, KCCA for Mapinduzi

Two foreign teams are expected to compete in the 2016 Mapinduzi Cup kicking off on January 2 in Zanzibar, it has been revealed.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani