AMANDA AZUA BALAA MTAANI
![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi-LBRk1vIDN9kYEotX513jG6D40pu1HCk0MShqNz0XwTKI4fKUvffZsijsAC75X7VCh7i9fW9WLmDk9osHO8U2y/amanda.jpg)
Stori: Chande Abdallah Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake. Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ akiwacharukia wanaume waliokuwa wanampigia miluzi huku wakimzodoa. Tukio hilo lililowashangaza wengi lilijiri eneo la Mwenge Bamaga jijini Dar wakati msanii huyo alipokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Diamond azua balaa Ujerumani
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Nape azua balaa Singida
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nauye, pamoja na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Singida, Musa Sima, wanadaiwa kuwaongoza vijana wa ulinzi...
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.
Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.
Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Amanda Poshy amezua maswali yasiyo na majibu baada ya kuandika maneno ambayo wengi wameshindwa kujua yana maana gani kwani yamekaa kimafumbo flani hivi.
Kauli hii ya mwanadada Amanda inakuja siku chache tu baada ya mrembo Irene uwoya kuongelea jambo kama hili hili siku mbili zilizopita.
Amanda poshy ameongelea mambo mengi yakiwemo “Kuchukuliana mabwana kwa waigizaji wa...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Mwambusi azua balaa Mbeya City
UAMUZI wa kujiuzulu kuinoa klabu ya Mbeya City aliochukua kocha mkuu Juma Mwambusi, umeibua hali ya sintofahamu ndani ya kikosi hicho, huku uongozi wa juu wa timu hiyo ukisisitiza kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHtu1ugjXGeOhm6ldj4pkO-E4ZJ7P9GQvAeUCSHvYrdL6iN69sw9zvm9IE8YNsDDM0RnTrcGPqQVEu9kffTQKa3P/JOSEPH.jpg?width=600)
Henry Joseph azua balaa Simba SC
10 years ago
Michuzi14 Sep
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAAMPi7NW88hTI0KFAVU64e1MemdIsSzWhtUiFFg1jZ*2nIuVfZbbAcPgPM0JODVKFaocCe6fIaDle9rqTVdAOi/amanda.jpg?width=650)
AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgpFOya10lAZeCJQUxyy*9TZ2xVYK0iubmxGwwVURb*ruxZ6Z5pspXDnO-bY3j0diup7Ys5T7c*zvtQ62B1vPXW/GLOBALTVONLINE14.jpg)
UJAUZITO WAMTULIZA AMANDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm-7l5WPxS90KK2u5Duybp07Q60emvcbAxVypd5W1dU0YemPkZwemgEITt1tljAcycqxiVJe9NbImDVSdfwhHKm/a.jpg)
AMANDA ACHAFUKA MTANDAONI