Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANDA ACHAFUKA MTANDAONI

Stori: Gladness Mallya/Risasi Mchanganyiko
MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amechafuka baada ya mtu anayejitambulisha kwa jina lake, kujinadi kwa kujitongozesha katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama 'Amanda'. Amanda huyo feki amekuwa akijiuza bila aibu katika mtandao huo kwa kujitongozesha kwa wanaume, kitu kinachomuumiza muigizaji huyo ambaye pia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UJAUZITO WAMTULIZA AMANDA

Staa wa filamu za Kibongo, Amanda Posh. Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Posh anadaiwa kutulizwa na hali yake ya ujauzito kwani hivi sasa haonekani mara kwa mara kama zamani. Chanzo kilicho karibu na muigizaji huyo kilisema Amanda alikwenda nchini Uswisi ambako ndiko anakoishi mpenzi wake, ambaye hata hivyo jina lake halikupatikana mara moja, aliporejea ndipo ilipojulikana ni mjamzito. Amanda alitafutwa na gazeti...

 

11 years ago

GPL

AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA

Stori: Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu  ambao haujulikani. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”… ...

 

11 years ago

GPL

AMANDA AANIKA SABABU ZA KUTOKUZAA

Na Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mpaka sasa hajazaa kwa sababu bado alikuwa hajamuona mwanaume wa kuwa baba watoto wake. Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ Akichonga na gazeti hili, Amanda alisema katika maisha yake anapenda sana mtoto lakini bado hajatokea mwanaume sahihi wa kuzaa naye ila anashukuru kwa sasa amempata. “Miaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo

Staa wa bongo movies,  Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa  mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara  na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote  aliyowahi kufanya siku za nyuma.

Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda  alisema kwa mwezi  huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha  maungo yake  ya sehemu za siri bali...

 

10 years ago

GPL

BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA

NA WAANDISHI WETU/Mchanganyiko NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza. Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga. “Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka...

 

10 years ago

GPL

AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA

MWANDISHI WETU MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana? Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema baada ya gazeti la Ijumaa la wiki iliyopita kuripoti akimchana shabiki aitwaye Joel ambaye aliandika...

 

11 years ago

GPL

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO

Na Hamida Hassan
MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho. Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo...

 

10 years ago

GPL

PARTY YA AMANDA, FULL KUDENDEKA

Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara'.
Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.… ...

 

10 years ago

GPL

MPENZI AMALIZA STRESS ZA AMANDA

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kusumbuliwa na presha ya kushuka mara kwa mara, iliyosababishwa na stress za kutendwa na wanaume, hatimaye msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ametuliza mzuka baada ya kumpata mpenzi mpya anayeishi ughaibuni.       Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akipozi. Akipiga stori na gazeti hili majuzi, Amanda alisema ni kweli kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani