AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1coDWYQAp9ykf0w9k4VAHHYj-PceWzRO67pOjEMZ5qWxbl4MHtOQ*XV4LbOA97NDo0qhU4cxFBAurBhELnJgPGqA/amanda.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho. Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMCHUMBA: MSINIUMIZE NA PICHA FEKI ZA MAREHEMU RECHO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ToQMaI9f*6JBqD9ldCPnGpbrlI2LiVYy0iuFpGB10gxydG86m1cZnj-bwWQvUYNWz5l*MNYcEmb8Rd89gphZ3mvIMY-rdnSd/IMG20140529WA0018.jpg?width=650)
NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAXJx6jwyNOhIzaYtkZ2G50zOWfJzZcb-reMpNgx4bqEcss6QEbc90WBsi84O7jqr2LRH6E86ZLUCBRd3OK-Ku0/Mtitu.jpg)
MTITU AWALIPUA MASTAA MISA YA MAREHEMU RECHO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYzQCe44kXWS6lTsyZOAaYj-g1kz1j4BNMo4nZEDacuE*Jj6JO-CRlg5aPXHBLmpXO5ynBkSuUv8s8ucshJj*KX/odam.jpg?width=650)
ODAMA AELEZA ALIVYO KUTANA NA MAREHEMU RECHO
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Waziri wa JK yamkuta
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Sharukani wa Dar yamkuta
Sharukani akitaharuku baada ya fumanizi hilo.
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
Yamemkuta! Jamaa mwenye asili ya udosini almaarufu kwa jina la Sharukani wa Vingunguti au wa Dar, mkazi wa Airport jijini Dar, anadaiwa kunaswa laivu ‘akimtumbua’ mke wa rafiki yake, naye ‘kutumbuliwa’ kwa kupewa mkong’oto hivyo kukiri ‘kweli mke wa mtu ni sumu’.
…..Akiwa hajui la kufanya.
Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni katika gesti moja maarufu maeneo ya Ilala ambapo Sharukani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2aD0CNnubTZHEiINdWZkj0ujHfBFbhOTOUS0N1cdZSWZmth-ZTwdAphwbZasTz18jXuGYxoNVXerKQn4Z6XO7ec/19.jpg?width=650)
HUSNA MAULID YAMKUTA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69sAESFeLKdtabuAio5TLCaZpttnnuAt3nbf2S-7zNPDcQplGafD-KubU5vI0CrqZ3heYlmtbvTJkv-*AaekrBy/3.jpg?width=650)
AMBAKA MTOTO WA MIAKA 3, YAMKUTA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hh4tNnHyWcUyumoeGXMO0eac5rul5TMoDsZNBwG*E5TYOrYv-IULPIeA4R3vMPMPgL1anl*1yILWjf3x7*knNKH/mc.jpg?width=650)
BABU AYUBU YAMKUTA MAZITO