Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa JK yamkuta

Wakati utata ukizidi kujitokeza katika uapishaji wa viongozi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na waliodaiwa kushinda kuwekwa kando na kuapishwa walioshindwa,

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUSNA MAULID YAMKUTA!

Shani Ramadhan na Imelda Mtema
MSHIRIKI wa shindano la Miss Tanzania 2011/2012, Husna Maulid yamemkuta ya mwaka, kwa kudaiwa kutolewa vitu vyake nje na mwenye nyumba baada ya kushindwa kulipa kodi, huko Shekilango jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, zoezi lililosimamiwa na mabaunsa. MSHIRIKI wa shindano la Miss Tanzania 2011/2012, Husna Maulid. Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili kuwa mrembo huyo alikuwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Sharukani wa Dar yamkuta

IMG-20160103-WA0020
Sharukani akitaharuku baada ya fumanizi hilo.

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
Yamemkuta! Jamaa mwenye asili ya udosini almaarufu kwa jina la Sharukani wa Vingunguti au wa Dar, mkazi wa Airport jijini Dar, anadaiwa kunaswa laivu ‘akimtumbua’ mke wa rafiki yake, naye ‘kutumbuliwa’ kwa kupewa mkong’oto hivyo kukiri ‘kweli mke wa mtu ni sumu’.

IMG-20160103-WA0013

…..Akiwa hajui la kufanya.

Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni katika gesti moja maarufu maeneo ya Ilala ambapo Sharukani...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND YAMKUTA TENA UINGEREZA

Stori: Musa Mateja Ni nuksi, gundu au hujuma? Ndivyo unavyoweza kujiuliza kufuatia tukio lingine baya lililomkuta staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa London nchini Uingereza ikiwa ni siku kadhaa tangu aliposababisha vurugu nchini Ujerumani, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili ya kilichojiri. Promota wa Diamond wa Uingereza (Victor Dj-rule). TWENDE LONDON
Habari kutoka kwa ‘mtu...

 

10 years ago

GPL

AMBAKA MTOTO WA MIAKA 3, YAMKUTA

DUSTAN SHEKIDELE-MOROGORO
USHIRIKINA? Katika hali ya kushangaza, Wilson Saimon ‘Babu Nyemeni’ (21), mkazi wa Kijiji cha Mgeta wilayani Mvomero mkoani Morogoro yamemkuta baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kudaiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitatu. Babu Nyemeni anadaiwa kufanya unyama huo mwishoni mwa mwaka jana, nyumbani kwa Angel Bosco ambaye alikuwa amekwenda kuimba kwaya kanisani na...

 

11 years ago

GPL

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO

Na Hamida Hassan
MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho. Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo...

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

11 years ago

GPL

BABU AYUBU YAMKUTA MAZITO

Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa vichekesho anayeigiza sauti za watu mashuhuri nchini, Babu Ayoub ‘Mc Babu Ayoub’ amekutwa na mazito baada ya ukuta wa nyumba yake kuzolewa na mafuriko na kusababisha hasara. Gari aina ya Toyota Carina la msanii  Babu Ayoub ‘Mc Babu Ayoub’ likiwa limeharibiwa vibaya baada ya kuangukiwa na ukuta Akizungumza na Amani, Babu Ayoub alisema kuwa, tukio hilo...

 

11 years ago

GPL

KISA MTOTO WA KAJALA, ZAMARADI YAMKUTA

Jambo limezua jambo! Prizenta wa Clouds FM na TV, Zamaradi Mketema yamemkuta mazito baada ya kumwagiwa mvua ya matusi kisa kumhoji mtoto wa Kajala Masanja (jina kapuni kimaadili) juu ya ugomvi wa mama yake na Wema Isaac Sepetu. Prizenta wa Clouds FM na TV, Zamaradi Mketema. Mara baada ya Zamaradi kuzungumza na mtoto huyo kupitia Kipindi cha Leo tena ndipo mitandao ya kijamii ikalipuka kwa matusi kuwa hakupaswa kumhusisha mtoto...

 

10 years ago

GPL

ALIYEMREKODI EDZEN VIDEO YA UTUPU YAMKUTA

Erick Evarist/Ijumaa
JESHI la polisi jijini Dar limemkamata binti anayefahamika kwa jina la Moza kwa kosa la kudaiwa kumdhalilisha Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne ambapo anatarajiwa kuburuzwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika. Moza anayedaiwa kumrekodi Ezden video ya utupu. Moza ambaye alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji huyo kisha kuachwa, anadaiwa kumrekodi video ya utupu Ezden...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani