Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND YAMKUTA TENA UINGEREZA

Stori: Musa Mateja Ni nuksi, gundu au hujuma? Ndivyo unavyoweza kujiuliza kufuatia tukio lingine baya lililomkuta staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa London nchini Uingereza ikiwa ni siku kadhaa tangu aliposababisha vurugu nchini Ujerumani, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili ya kilichojiri. Promota wa Diamond wa Uingereza (Victor Dj-rule). TWENDE LONDON
Habari kutoka kwa ‘mtu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yashambulia tena IS nchini Syria

Ndege za kivita za Uingereza zimeshambulia kwa mara ya pili ngome za wapiganaji wa Islamic State nchini Syria tangu kuidhinishwa kwa operesheni hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kimbunga kupiga tena nchini Uingereza

Kimbunga kinatarajiwa kujitokeza tena katika maeneo kadhaa ya nchini Uingereza,kikiambatana na mvua na barafu

 

5 years ago

Michuzi

LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA TENA JUNI 17, MAN CITY VS ARSENAL

Baada ya Bundesliga kuanza kutimua vumbi, Pazia la ligi Kuu nchini Uingereza linatarajia kufunguliwa Juni 17 mwaka huu kwa mechi mbili kuchezwa.

Mechi hizo zikiwa ni viporo zitawakutanisha mabingwa watetezi Manchester City dhidi ya Arsenal na Aston Villa dhidi ya Sheffield United huku ratiba kamili ikianzia wikiendi ya Juni 19-21.

Bado kuna jumla ya mechi 92 ambazo zinahitaji kuchezwa na vilabu vyote 20 baada ya Ligi hiyo kusiimamishwa kwa muda usiojulikana Machi 13 kutokana na mlipuko wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond azua vurugu nyingine Uingereza

Mwanamuziki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia jana alisababisha vurugu kubwa nchini Uingereza baada ya kushindwa kutumbuiza katika ukumbi wa LaFace Club uliopo jijini London.

 

5 years ago

Bongo5

Diamond kuandika historia tena

Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya yajulikanayo kama Chibu Perfume.

Hatua hiyo imekua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake wengi tangu alipoweka hadharani ujio wa biashara hiyo mwezi Novemba mwaka jana.

Kupitia mtandao wa Istagram, Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ ametaja siku ya kuingiza sokoni kwa perfume, “The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve.”

Endapo hilo litafanikiwa Diamond ataingia kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shetta kutoka tena na Diamond

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal ‘Shetta’, amemshirikisha tena mkali wa muziki huo, Nassib Abdul ‘Diamond’, katika ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mama Qayllah’. Shetta aliwahi...

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond atajwa tena tuzo 3

DIAMOND (5)Diamond Platnumz

MWAKA ameufungua vizuri staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kutajwa kuwania tuzo tatu za Trends Loaded Music, Too Exclusive pamoja na Hipipo Music.

Katika Tuzo za Hipipo Music ambazo hutolewa nchini Uganda na Nigeria, Diamond amefanikiwa kuingia katika vipengele vitatu ambavyo ni East African Super Hit, East african Best Video pamoja na Best African Artist of the Year.

Kwa upande wa Tuzo za Xclusive Music, Diamond ameingia katika kipengele kimoja cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani