Kimbunga kupiga tena nchini Uingereza
Kimbunga kinatarajiwa kujitokeza tena katika maeneo kadhaa ya nchini Uingereza,kikiambatana na mvua na barafu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili05 Dec
Uingereza yashambulia tena IS nchini Syria
Ndege za kivita za Uingereza zimeshambulia kwa mara ya pili ngome za wapiganaji wa Islamic State nchini Syria tangu kuidhinishwa kwa operesheni hiyo.
10 years ago
BBCSwahili10 May
Kimbunga Noul kupiga Ufilipino kaskazini
Wakazi wa kaskazini mwa Ufilipino wanajiandaa kuwasili kwa kimbunga ambacho kimesababisha kufutiliwa mbali kwa safari za ndege na usafiri wa baharini.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kimbunga Uingereza chasababisha maafa
Maelfu ya nyumba Uingereza hazina umeme huku usafiri wa umma ukiathiriwa na upepo mkali unaovuma nchini humo
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Kimbunga Gonzalo chaua Uingereza
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti kutokana na upepo mkali jijini London, Uingereza.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Bunge la Uingereza kupiga kura leo
Bunge la uingereza linatarajiwa kupiga kura hii leo kuunga mkono kampeni ya Uingereza dhidi ya Islamic State nchini Syria na Iraq
11 years ago
GPLRIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete … ...
10 years ago
GPLKIMBUNGA CHAUA 6 NCHINI INDIA
Upepo mkali ukivuma leo katika ufukwe wa Gopalpur huko Orissa, India. Taswira kutoka katika Hoteli ya Park iliyopo Visakhapatnam wakati kimbunga hicho kikipita. WATU sita wamepoteza maisha nchini India baada ya kimbunga kiitwacho Hudhud kupiga eneo la pwani ya India kikiwa na…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania