Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTITU AWALIPUA MASTAA MISA YA MAREHEMU RECHO

Na Hamida Hassan
Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu hivi karibuni aliwalipua wasanii wenzake na kusema kuwa inavyoonekana kwa Mungu hawapo kwani wamekuwa wakichenga kwenda kanisani na msikitini inapotokea kuna kisomo kwa ajili ya marehemu. Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu. Mtitu alizungumza hayo alipokuwa makaburini Kinondoni jijini Dar, kwenye misa ya mwaka mmoja ya marehemu Rachel Haule...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTITU: WASTARA ALIMKOSEA MAREHEMU

Stori: Emelde Tarimo
BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa kumwambia kuwa, alimkosea sana marehemu Sheila Haule ‘Recho’ kwa kutomzika. BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu Akizungumza na mwandishi wetu, Mtitu alisema marehemu Recho alikuwa mtu wa kujitoa katika matatizo mbalimbali ukiwemo msiba wa mume wa Wastara, Juma Kilowoko...

 

11 years ago

GPL

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO

Na Hamida Hassan
MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho. Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo...

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA: MSINIUMIZE NA PICHA FEKI ZA MAREHEMU RECHO

Mume wa Marehemu Rachel aitwaye George Sagunda. Hapa ndipo alipozikwa marehemu Sheila Haule ‘Recho’. Shimo dogo ndo alizikwa mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!… Stori: Erick Evarist
MCHUMBA ambaye alifikia hadhi ya mume wa mwigizaji marehemu Sheila Haule…

 

11 years ago

GPL

ODAMA AELEZA ALIVYO KUTANA NA MAREHEMU RECHO

Makala: Erick Evarist
MTOTO mzuri mwenye asili ya Kihaya, Jenifer Kyaka ‘Odama’ aliyesoma shule ya msingi mkoani Kigoma kisha kuhamia jijini Dar na kupitia kozi tofautitofauti kabla kutupa karata yake katika anga la filamu ndiyo tupo naye leo katika Exclusive Interview. Mtoto mzuri mwenye asili ya Kihaya, Jenifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na marehemu Recho Haule enzi za uhai wake. Awali, hakuwahi kuwaza...

 

11 years ago

GPL

NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO

Miili ya marehemu Recho na mwanae ikiwasili nyumbani kwa marehemu eneo la Palestina jijini Dar.…

 

11 years ago

Michuzi

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI

Familia ya Mwesigwa inapenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na misa ya kumuaga mpendwa wao Mwesigwa Blandesi itakayofanyika siku ya Jumamosi May 31,2014 kuanzia saa Nane na nusu mchana mpaka saa kumi na moja na nusu jioni(2:30-5:30pm) katika Kanisa la "Resurrection Lutheran Church", 397 Euclid Avenue, Oakland California 94610.
Baada ya misa kutakuwa na mkusanyiko wa ndugu jamaa na marafiki wote kwenye ukumbi wa "Resurrection Lutheran Church"  katika kusheherekea maisha na kumbukumbu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Michael Ndaskoi Mlingi .

Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MD inapenda kuwashukuru wote kwa kushiriki kwa njia moja au nyingine kwenye misa ya kumbukumbu ya maisha ya Michael Ndaskoi Mlingi .Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi na tulimpoteza mwezi wa machi mwaka huu.misa hiyo ilifanyika Jumamosi May 16th 2015 katika kanisa la Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216



ibada ikiendelea
Ndugu Kenneth Mshiu (binamu wa marehemu) akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU METHOD MENGI YAFANYIKA HOUSTON, TX

Misa ya kumuaga ndugu yetu mpendwa marehemu Method Mengi aliyefariki wiki mbili zilizopita hapa Houston ilifanyika jana jumamosi katika kanisa Katoliki la St. Cyril of Alexandria na kuongozwa na Fr.Gerald Singu kutoka Virginia. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuondoka mwanzoni mwa wiki kuelekea nyumbani Morogoro tayari kwa maziko. Pata taswira za Ibada hiyo : 

Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Method Mengi
Fr.Gerard Singu (katikati) kutoka Vurginia akiongoza misa
Mke wa marehemu Method (wa pili...

 

10 years ago

Vijimambo

Misa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa

MISA YA Shukurani Kutimiza siku Arubaini (40) ya MAREHEMU Mzee Samuel Mtabala LUANGISA- New York
Saturday August 8, 2015.

Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),

Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani