MTITU: WASTARA ALIMKOSEA MAREHEMU
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYc1-a-DUe8LWcMyghxChLADmNU7FAnKG*DQisk6cZgzkSuYz*kTo4wD-Z8r9kneZUgHS5Twu402lJy1foouBn0/mtitu.jpg?width=650)
Stori: Emelde Tarimo BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa kumwambia kuwa, alimkosea sana marehemu Sheila Haule ‘Recho’ kwa kutomzika. BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu Akizungumza na mwandishi wetu, Mtitu alisema marehemu Recho alikuwa mtu wa kujitoa katika matatizo mbalimbali ukiwemo msiba wa mume wa Wastara, Juma Kilowoko...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAXJx6jwyNOhIzaYtkZ2G50zOWfJzZcb-reMpNgx4bqEcss6QEbc90WBsi84O7jqr2LRH6E86ZLUCBRd3OK-Ku0/Mtitu.jpg)
MTITU AWALIPUA MASTAA MISA YA MAREHEMU RECHO
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya
"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1gc__G5h4C4/VGphi6iDBfI/AAAAAAAGx-I/GquKptm9IKE/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU Marehemu Omar Ndege Mgori KUFANYIKA NOVEMBA 23, 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-1gc__G5h4C4/VGphi6iDBfI/AAAAAAAGx-I/GquKptm9IKE/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
Dua maalumu ya kumuombea Marehemu Omar Ndege Mgori imepangwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FsbI7diFASg/VA3Z4xuKHCI/AAAAAAAGiF4/y9o7GiRW89Y/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH
![](http://2.bp.blogspot.com/-FsbI7diFASg/VA3Z4xuKHCI/AAAAAAAGiF4/y9o7GiRW89Y/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-h5GYcnFj-Ts/VA3Z57wOLKI/AAAAAAAGiGE/vZWMU8VnUH8/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0r8-wGBopChsJkCTmTX6vme0dr85Z145TQ7H60Ar0AwQrhgDpx0sFsGbKUhgfGvhilP9n2j*XMzM8zYI*K8td6q/wema.jpg)
WEMA, MTITU WAKWIDANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-uO54rJ35O**1MJVzARI6H1HGg5162dlh-Za06aNIMAEKs8-RXe4OMf6Xef6F0hFd-aGSyICil-Qi2l901aAlbT/mtiti.jpg)
MTITU ANUSURIKA KIPIGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3HbShd4a7MZM*2bqVplXHc1v1uBW4x6I7HZta88MNrMlFbnNEgDNpW15bQD7qenAb-obo2JRRFbtAvxII02b7q/mtitu.jpg?width=650)
MTITU, NIVA WAZICHAPA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6TLjrEVtyrJrwfo4em*KuB-Yq760DCpkjWw-6wEF39oWIki8y18GaNT1WHYMhwr5UuLneYBOhtuwcutL*virM4/jb.jpg)
MTITU AMPA MAKAVU JB