Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Michael Ndaskoi Mlingi .
![](http://4.bp.blogspot.com/-WrE8E2i2zD8/VVtTKZsdI6I/AAAAAAADnuU/SqGnjA2xr4Q/s72-c/g1Collage.jpg)
Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MD inapenda kuwashukuru wote kwa kushiriki kwa njia moja au nyingine kwenye misa ya kumbukumbu ya maisha ya Michael Ndaskoi Mlingi .Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi na tulimpoteza mwezi wa machi mwaka huu.misa hiyo ilifanyika Jumamosi May 16th 2015 katika kanisa la Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216ibada ikiendelea
Ndugu Kenneth Mshiu (binamu wa marehemu) akisoma...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI
Wanafamilia wakifuatilia misa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
GPLMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV
10 years ago
Vijimambo07 May
Celebration Of Life of Michael Mlingi May 16, 2015, Washington, DC
10 years ago
MichuziRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XEtD0BBJaJg/VPbJqYh378I/AAAAAAAHHhQ/7g7yR2tC4DA/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
KUMBUKUMBU NA MISA
![](http://3.bp.blogspot.com/-XEtD0BBJaJg/VPbJqYh378I/AAAAAAAHHhQ/7g7yR2tC4DA/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
Tunakuombea upunguziwe adhabu za kaburi na upatiwe mwanga wa milele.
Misa itafanyika leo tarehe 4 Machi, 2015 katika kanisa Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam, Saa 11.00 jioni
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gTu_We3ifRQ/VDYxamIOpUI/AAAAAAAGoyo/5ZjO4FcLzgY/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
kumbukumbu na tangazo la misa
![](http://2.bp.blogspot.com/-gTu_We3ifRQ/VDYxamIOpUI/AAAAAAAGoyo/5ZjO4FcLzgY/s1600/unnamed%2B(39).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Misa kumbukumbu ya Regia kesho
FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Regia Mtema (CHADEMA), imeandaa misa takatifu ya kumbukumbu ya miaka miwili tangu afariki dunia Januari 14 mwaka 2011. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...
10 years ago
Vijimambo04 Apr
MISA YA KUMBUKUMBU DMV JUMAMOSI APRIL 11, 2015
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/99/St._Joseph_Cathedral_Wheeling_WV_1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6EpeLU-r9tY/VKHrJ6Sh5fI/AAAAAAADTXg/VMp450Ungxc/s72-c/unknown.jpg)
Misa ya Kumbukumbu ya Col. Clement Xavier Mwihava.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6EpeLU-r9tY/VKHrJ6Sh5fI/AAAAAAADTXg/VMp450Ungxc/s1600/unknown.jpg)
Familia ya Mwihava inapenda kuwakaribisha nyote, kwenye misa ya kumbukumbu ya baba yao mpendwa. Col. Clement Xavier Mwihava (baba yao mzazi Cane Mwihava na Derick Mwihava) Aliye fariki Tanzania December 26, 2014Misa itafanyika Jumapili January 4, 2015.Kuanzia saa nane mchana (2pm) katika kanisa la St. Edwards Roman Catholic Church Anuani ni 901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, USA
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana naCane Mwihava 301 806...