Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Celebration Of Life of Michael Mlingi May 16, 2015, Washington, DC

Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MDinapenda kuwakaribisha  wote kwenye Memorial Service honoring Michael Ndaskoi Mlingi Life.Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi  na tulimpoteza this march. Come and Celebrate Michael's Life on Saturday May 16th 2015 atKeystone Room of Takoma Park SDA Church located at 6810 Eastern AvenueWashington ,DC NW 20012 at 4.pm to 9pm Kama unaswali au unahitaji more information unaweza kupiga simu  1.Justa Mutalemwa   Tel...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CELEBRATION OF LIFE MASS ON SATURDAY APRIL 25, 2015 WASHINGTON, DC

Beloved family and dear friends! Please join Bupe Mwangota and family for a Celebration of Life Mass in honor of our beloved mother, Matilda M. Mwangota, who went to be with the Lord on March 16th, 2015.The service will be held on Saturday, April 25th 2015 at 3:00pm. First Trinity Lutheran Church, 309 E street NW Washington DC, (judiciary square metro).Reception to follow after the service.Regrets/Information:Mrs. Tumaini Kaisi-KatulePhone: (301) 433 3411Karibuni sana."All that I am or ever...

 

10 years ago

Vijimambo

Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Michael Ndaskoi Mlingi .

Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MD inapenda kuwashukuru wote kwa kushiriki kwa njia moja au nyingine kwenye misa ya kumbukumbu ya maisha ya Michael Ndaskoi Mlingi .Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi na tulimpoteza mwezi wa machi mwaka huu.misa hiyo ilifanyika Jumamosi May 16th 2015 katika kanisa la Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216



ibada ikiendelea
Ndugu Kenneth Mshiu (binamu wa marehemu) akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

Invitation to Illuminata Tarimo's memorial/celebration of life - Saturday

Dear colleagues and loved ones of our beloved Illuminata Tarimo,
We will gather in remembrance and celebration of Lumie's brilliant life. A time together to honor her and comfort one another. We welcome your stories, poems, personal dedications. 
Saturday, November 22nd 
St. Cecilia's Parish(106th Street. between Lexington and Park Avenues)
Service1pm - 1:30pm
Memorial reception1:30 - 3:30pm
RSVP to cristinastjuste@gmail.com OR 347 484 6010
Thank you!

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDUTAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DCCHUO KIKUU CHA HOWARD – WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano  (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Injili Washington DC Aug 14 — 16, 2015

Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwaalika katika siku tatu za mkutano wa uamsho utakaofanyika hapa Washington DC.

Ni kati ya Agosti 14-16 2015



Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Injili Washington DC [Aug 14 - 16 2015]

Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwaalika katika siku tatu za mkutano wa uamsho utakaofanyika hapa Washington DC.
Ni kati ya Agosti 14-16 2015

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC

Njoo upate chakula cha uhakika (African Buffet Style), vinywaji, burudani murua ya muziki kutoka kwa gwijiMaster DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, akiwemo msanii kutoka Kenya Anna Mwalagho, katika Tamasha la kipekee April 23, 2015 kwa Dola 25 tu! Mgeni Rasmi wa Heshima na Taadhima ya Kipekee kutoka Tanzania atakuwepo kubariki Tamasha hili.
Mwana DMV, nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani