UJAUZITO WAMTULIZA AMANDA
![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgpFOya10lAZeCJQUxyy*9TZ2xVYK0iubmxGwwVURb*ruxZ6Z5pspXDnO-bY3j0diup7Ys5T7c*zvtQ62B1vPXW/GLOBALTVONLINE14.jpg)
Staa wa filamu za Kibongo, Amanda Posh. Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Posh anadaiwa kutulizwa na hali yake ya ujauzito kwani hivi sasa haonekani mara kwa mara kama zamani. Chanzo kilicho karibu na muigizaji huyo kilisema Amanda alikwenda nchini Uswisi ambako ndiko anakoishi mpenzi wake, ambaye hata hivyo jina lake halikupatikana mara moja, aliporejea ndipo ilipojulikana ni mjamzito. Amanda alitafutwa na gazeti...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAAMPi7NW88hTI0KFAVU64e1MemdIsSzWhtUiFFg1jZ*2nIuVfZbbAcPgPM0JODVKFaocCe6fIaDle9rqTVdAOi/amanda.jpg?width=650)
AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm-7l5WPxS90KK2u5Duybp07Q60emvcbAxVypd5W1dU0YemPkZwemgEITt1tljAcycqxiVJe9NbImDVSdfwhHKm/a.jpg)
AMANDA ACHAFUKA MTANDAONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfdFbiiMeAGTQyqrXycJvYR8qmSHqA*aUjCxlP1RwtxIXs5lKymaXjf4vmUVwiTX9gcR7FcLq87TsmNumHZHqr0/1.jpg)
AMANDA POSHI: NIMENUSURIKA KIFO
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Amanda atumika kwa utapeli
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.
Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oOoMhaf9XCPzEaeTR0xDkzcC28ZGou3WnXQOQEQutcqV-MqVfzUZuujxKDCIPMkur4a2c*dFKt08Nl*GcJ1enFF/AMANDA.jpg)
AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvMMpWY0bSE4kFdbGMMZPNolaamZctyGc2UzuC8xxw*BfK7lPLp4Ts4*ZvC8aEDQrHBEIZ7Wv8iCEXs9MMYP-LhZ/Lungi.jpg)
BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRaJ9Vh9LNrf1Mvmk7ZSDCMtov*rByJ0zaNIiNH0Vpirl-72QIdmV4K4Qp1pHG*W38LK*n05zspcZWT2btbwavfh/amanda.jpg?width=650)
AMANDA AANIKA SABABU ZA KUTOKUZAA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-efJ6Vw2RzgyA0E1pwC*TE9R6kWYeRxy*rr62r4jSg58wKGoGgZreAdLddkd1KgCKDzSriXw0ZxvpaE3Mb3-0w3/Amandaz.jpg?width=650)
AMANDA APUNGUA KILO 11 MWILINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*P0dOz9vjomk0KocYYufP7immmK927uX6TZaoNEWVXMfIKHRJNG6u6g3OmDHqGdqQRalcy9rK9x0cQ1A8G9bTS/a.jpg?width=650)
AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA