Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANDA POSHI: NIMENUSURIKA KIFO

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anamshukuru Mungu kwani amenusurika kifo kwa ajali ya bodaboda.Akizungumza na paparazi wetu, Amanda alisema ajali hiyo ilitokea hivi karibuni maeneo ya Makonde-Mbezi Beach jijini Dar wakati alipokuwa akiwahi lokesheni. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. “Nilirudisha gari nyumbani,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

‘Nimenusurika kuuawa na madereva bodaboda’

Ni unyama. Ni unyama. Ni unyama.  Hili ndilo neno pekee linaloweza kubeba dhima ya  tukio hili. Unyama huo  leo umemfikisha msichana mdogo wa miaka 21 katika kitanda cha Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili (MNH), akiwa na majeraha ya kutisha pamoja na udhalilishaji wa kijinsia.

 

10 years ago

Mwananchi

Nimenusurika kupigwa na Wazanzibari mara mbili bungeni

>Mbunge wa Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa, Ally Keissy amesema kuwa katika uhai wake akiwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Bunge la Katiba hawezi kusahau alivyonusurika kupata kipigo kutoka kwa wabunge wa Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

AMANDA ACHAFUKA MTANDAONI

Stori: Gladness Mallya/Risasi Mchanganyiko
MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amechafuka baada ya mtu anayejitambulisha kwa jina lake, kujinadi kwa kujitongozesha katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu kama 'Amanda'. Amanda huyo feki amekuwa akijiuza bila aibu katika mtandao huo kwa kujitongozesha kwa wanaume, kitu kinachomuumiza muigizaji huyo ambaye pia...

 

9 years ago

GPL

UJAUZITO WAMTULIZA AMANDA

Staa wa filamu za Kibongo, Amanda Posh. Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Posh anadaiwa kutulizwa na hali yake ya ujauzito kwani hivi sasa haonekani mara kwa mara kama zamani. Chanzo kilicho karibu na muigizaji huyo kilisema Amanda alikwenda nchini Uswisi ambako ndiko anakoishi mpenzi wake, ambaye hata hivyo jina lake halikupatikana mara moja, aliporejea ndipo ilipojulikana ni mjamzito. Amanda alitafutwa na gazeti...

 

11 years ago

GPL

AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA

Stori: Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu  ambao haujulikani. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”… ...

 

11 years ago

GPL

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO

Na Hamida Hassan
MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho. Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitokea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo...

 

10 years ago

GPL

BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA

NA WAANDISHI WETU/Mchanganyiko NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza. Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga. “Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AZUA BALAA MTAANI

Stori: Chande Abdallah Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake. Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ akiwacharukia wanaume waliokuwa wanampigia miluzi huku wakimzodoa. Tukio hilo lililowashangaza wengi lilijiri eneo la Mwenge Bamaga jijini Dar wakati msanii huyo alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

PARTY YA AMANDA, FULL KUDENDEKA

Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara'.
Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani