AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA
![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeAAMPi7NW88hTI0KFAVU64e1MemdIsSzWhtUiFFg1jZ*2nIuVfZbbAcPgPM0JODVKFaocCe6fIaDle9rqTVdAOi/amanda.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao haujulikani. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.â€â€¦ ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdbMsFFhLM6YfJhJU76ebI3g3OeZFFe82Eg-f26OySkc5-iU4kHo6dYciDy46lYeSBHNHayoaRtEu36YR-co42Wy/buheti.jpg)
ESHA BUHETI GONJWA GONJWA, TUMUOMBEENI
Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI aliyelamba tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike katika Tamasha la Zanzibar Festival Film ‘ZIFF’ mwaka huu, Esha Salim Buheti hali yake siyo nzuri na anahitaji maombi ili apone kutokana na kusumbuliwa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi. Mwigizaji, Esha Salim Buheti akiwa hoi kitandani. Akizungumza na Ijumaa lililokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaJyEom4T*vzg46P1FJiMU46OFfVdvOivYaazJyv3FBtQMvKzolu0bwyGDlUyA5LiuCQ4rpZ5InWrcOHjmLdsHai/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
GONJWA LA AJABU
Na Makongoro Oging’ MAAJABU ya Mungu! Ukisema wewe unaumwa sana, inawezekana hujawaona wagonjwa wengine! Faiza Masaka Paga (23)(pichani), mkazi wa Chanika –Msumbiji, Ilala jijini Dar amekumbwa na gonjwa la ajabu ambalo mpaka sasa madaktari hawajajua ni nini kwani sehemu ya kiuno na kalio upande wa kushoto imevimba na kumfanya aonekane ana kama nundu kubwa ya kutisha! Faiza Masaka mkazi wa Chanika akionyesha jinsi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidWWUCtxtyedMD9H3ZhGD3wvKroacFqVzJmzzVklSIKArLuGodah8ZGZ4Bk-FCPj9pmEmenErylJL4qKF7OdKHxr/gonjwa.jpg?width=650)
GONJWA LA AJABU LAMTESA
Stori: Makongoro oging’
Lawrent Lawrian, 42 (pichani), ni mkazi wa Kijiji cha Nyakisogo, Wilaya ya Biharamlo, mkoani Kagera, amekuwa mwenye huzuni na kukosa raha kwa muda wa miaka 35 kutokana na gonjwa la ajabu linalomtesa ambalo limemsababishia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kutoendelea na masomo. Kijana Lawrent Lawrian, akiwa na uvimbe wa ajabu kichwani mwake. Gonjwa hilo la ajabu ni uvimbe kama nundu kichwani wenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt64DdF-6YTBDMR-gO2fGcrOpZSOPLQZurBAYFn6UA8gb*lMAC0MjbOkH6gUFS7TDb8yzaqEHih41JG3X6K-doCk/FRONTRISASI.gif?width=650)
WEMA AGUNDULIKA NA GONJWA LA AJABU
Musa Mateja
Habari mbaya ikufikie kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Endless Fame Films Productions ambaye yupo kwenye harakati za kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, Wema Isaac Sepetu amegundulika kuwa na gonjwa la ajabu linalomsababishia kukosa raha ambalo linakua kadiri siku zinavyosonga. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Gonjwa hilo limegundulika hivi karibuni machoni mwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCBk1USLqPKmJK-IT6yo8CwTSKuOkOAUZ0FWyNobu9sQoIqAkvfjw23VyDVvSBdcc-Y8Gs7PiJ4Er*NioGUKW1C6/mbu.png?width=650)
GONJWA JINGINE LAIBUKA BONGO
Mbu wa Aedes aegypti anayesambaza gonjwa hatari la Chikungunya pamoja na homa ya Dengue. Majanga! Huku hali ya sintofahamu ikiendelea kuwakumba wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam na nchi nzima kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa homa ya Dengue, gonjwa lingine hatari lisilo na chanjo wala tiba limezuka, Risasi Jumamosi linakuwa la kwanza kukujuza. Gonjwa hilo liitwalo Chikungunya, linasambazwa na virusi wa jamii ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRkrD8qtuk1R4bGVWoxx8vhyiPqifGC8qVM44iZlEunWUhT1gPI08sMQHshKr-58R4BizGVjx-zTG9fIQCsoOV4/tino.jpg)
MSANII APATA GONJWA BAYA
Stori: waandishi wetu Oooh God! Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabu’ anasumbuliwa na gonjwa baya la moyo kwa zaidi ya miaka 7 akiwa hana msaada wowote kutoka kwa wasanii wenzake hivyo kulazimika kuomba msaada kwa Watanzania ambao anaamini wana moyo wa kusaidia. Mwigizaji wa kitambo kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Augustino Mathias ‘Tino Madhahabuna...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIQ0rpb5nImndskXmZ8BZJTal-HWnfLm*Nx6ivOQlaO9*dnTnrPzrW0AFmn1NybsskAhl7JtfVnfXBUSnM1Wokg/gonjwa.jpg?width=650)
MCHUNGAJI AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU
Stori: Makongoro Oging’
WAKATI waumini wa makanisa mbalimbali wamekuwa wakiamini kuwa wachungaji ni watu wenye uwezo wa kuwaondolea matatizo yao, yakiwemo magonjwa, Mchungaji Langeni Mwasibira (39) wa Kanisa la Baptist, lililopo Kyela mkoani Mbeya yupo hoi hospitalini Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mchungaji Langeni Mwasibira. Mchungaji huyo yupo katika mateso makubwa baada ya gonjwa la ajabu kumkumba na kuwapa hofu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIQ0rpb5nImndskXmZ8BZJTal-HWnfLm*Nx6ivOQlaO9*dnTnrPzrW0AFmn1NybsskAhl7JtfVnfXBUSnM1Wokg/gonjwa.jpg?width=650)
USIOMBE GONJWA HILI LIKUPATE
Stori: MAKONGORO OGING’
MARY Izengo (52), mkazi wa Kijiji cha Umanda- Msalala, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza anateseka kiasi cha kutamani afe kufuatia gonjwa la ajabu alilonalo huku akisema ndugu, wakiwemo watoto wake wamemtenga. Mchungaji Mary Izengo.
Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Wadi Namba 23, Jengo la Sewa Haji kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, mwanamke huyo alisema usiombe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1ZNWMIF0J8o6-UEGVqY46BvSZ5eFD4Eto28kDugmiHTiYi0NBFjG2V2-C2rKuxnpYRO-RlUc7nUszqQOJTe2wV/215Uwazi.jpg?width=650)
MTOTO AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU!
Na Mwandishi Wetu MTOTO Mariam Shabani (5) aishiye Bunju A Zone Kizota nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambaye alizaliwa akiwa mzima, amekumbwa na ugonjwa wa ajabu unaowashangaza wazazi wake. Mtoto Mariam Shabani akiwa katika mateso baada ya kupatwa na gonjwa la ajabu. Mzazi wa mtoto huyo, Idd Shaban aliwaambia waandishi wetu kuwa mwanaye akiwa mchanga alisadikika kuwa na matatizo ya ubongo lakini ukuaji wake ulikuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania