Kambi ya Simba ni balaa!
Kambi ya Simba . Na Richard Bukos, Zanzibar SIMBA ipo kisiwani Unguja, Zanzibar, ikijiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, ambayo itapigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, lakini katika kambi hiyo kuna mambo mengi ambayo yanaonyesha kweli timu hiyo ya Msimbazi imepania kufanya kweli. Championi Ijumaa ambalo limeweka kambi kisiwani hapa kwa siku kadhaa tangu Simba iwasili kisiwani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Simba yazua balaa Mbeya
PRESHA ya mechi ya Ligi Kuu ya Bara kati ya Simba na Mbeya City itakayopigwa leo Uwanja wa Sokoine mjini hapa, imezua balaa kwa wenyeji kiasi cha kutimuana. Kisa ni...
11 years ago
GPLHenry Joseph azua balaa Simba SC
10 years ago
GPLSIMBA NI BALAA YAILAZA BAO TATU GOR MAHIA
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Kopunovic azuia kambi Simba SC
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Waganda wakacha kambi Simba
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Simba yakamilisha kambi Lushoto
TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii, baada ya kumaliza kambi ya wiki mbili wilayani Lushoto kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola alisema jana kuwa timu yao ilikuwa Lushoto kwa kambi ya wiki mbili kwa ajili ya mazoezi ya ukamilifu wa mwili kabla hawajaanza rasmi mazoezi ya uwanjani.
Alisema Kocha wao Mkuu, Dylan Kerr, alitaka timu iweke kambi sehemu ya baridi, kwa kuwa ni rahisi kufanya mazoezi kwa...
10 years ago
Mtanzania30 Jan
Wazee Simba kuvamia kambi ya wachezaji
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
BAADA ya Simba kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City juzi, wazee wa klabu hiyo wameshindwa kuvumilia na kuamua kupanga kutinga kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo Ndege Beach Dar es Salaam, ili kuzungumza na wachezaji kujua tatizo linalosababisha kuvurunda katika ligi.
Simba msimu huu imeshindwa kufanya vema katika mechi zake mbalimbali za ligi, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo hali ambayo imewakasirisha kwa kiasi...
10 years ago
MichuziWACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...