Simba yakamilisha kambi Lushoto
TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii, baada ya kumaliza kambi ya wiki mbili wilayani Lushoto kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola alisema jana kuwa timu yao ilikuwa Lushoto kwa kambi ya wiki mbili kwa ajili ya mazoezi ya ukamilifu wa mwili kabla hawajaanza rasmi mazoezi ya uwanjani.
Alisema Kocha wao Mkuu, Dylan Kerr, alitaka timu iweke kambi sehemu ya baridi, kwa kuwa ni rahisi kufanya mazoezi kwa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Jul
MAKOCHA WA ZUNGU WA SIMBA NI WATALII WA SUMMER CAMP HAPA NI NDANI YA MILIMA YA LUSHOTO
![](http://api.ning.com/files/2Za8s5sYvAIfDRLtDyQQsj6oRCR70d-ZM2O3pN2OQrWaWuEUv5waD3dzAiJIj7K98I-NYKVV1jewh6m28OaQY*zEG6jp8MbL/IMG20150707WA0150.jpg?width=650)
Wilbert Molandi na Sweetbert LukongeSIKU chache tangu Simba ilipotua Tanga kujiandaa na msimu mpya, wachezaji wa timu hiyo wamekiri kuwa mazoezi ya kocha wao mkuu, Dylan Kerr ni balaa kwa kuwa ni ya kiwango cha juu.
Simba ipo chini ya Kerr na msaidizi wake, Selemani Matola pamoja na kocha wa viungo, Mserbia, Dusan Momcilovic na kocha wa makipa, Mkenya, Abdul Idd Salim.Wakizungumza na Championi Ijumaa kwa nyakati tofauti, wachezaji wa timu hiyo walisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3IBchAfaWoyf6nyCCY3asF9yvbQ6nm-h9y7ej7W-SpELamTTMzFzWueCjotPzub9lWNlCMutgJ0TPiK5R96Obrb/KAMBI.jpg)
Kambi ya Simba ni balaa!
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Waganda wakacha kambi Simba
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Kopunovic azuia kambi Simba SC
10 years ago
Mtanzania30 Jan
Wazee Simba kuvamia kambi ya wachezaji
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
BAADA ya Simba kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City juzi, wazee wa klabu hiyo wameshindwa kuvumilia na kuamua kupanga kutinga kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo Ndege Beach Dar es Salaam, ili kuzungumza na wachezaji kujua tatizo linalosababisha kuvurunda katika ligi.
Simba msimu huu imeshindwa kufanya vema katika mechi zake mbalimbali za ligi, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo hali ambayo imewakasirisha kwa kiasi...
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
10 years ago
MichuziWACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DtxHYhbxtSs/U8-BXaNWQ0I/AAAAAAAArMg/nPTwNd3irpg/s72-c/01.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 45 ZA KISIMA KIJIJI CHA KAMBI YA SIMBA KARATU
![](http://1.bp.blogspot.com/-DtxHYhbxtSs/U8-BXaNWQ0I/AAAAAAAArMg/nPTwNd3irpg/s1600/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NgFK00ha_wU/U8-BfU1vqcI/AAAAAAAArMo/Emd91khCyJ0/s1600/TBL+2.jpg)
10 years ago
VijimamboSIMBA WALIPA KISASI MRA MBILI KWA WAFUNGA BUTI WA KAMBI YA MGAMBO JKT