Wazee Simba kuvamia kambi ya wachezaji
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
BAADA ya Simba kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City juzi, wazee wa klabu hiyo wameshindwa kuvumilia na kuamua kupanga kutinga kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo Ndege Beach Dar es Salaam, ili kuzungumza na wachezaji kujua tatizo linalosababisha kuvurunda katika ligi.
Simba msimu huu imeshindwa kufanya vema katika mechi zake mbalimbali za ligi, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo hali ambayo imewakasirisha kwa kiasi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Wazee wa Ngwasuma kuvamia Moro, Dom
BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wanatarajiwa kufanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza kwa ajili ya kutambulisha albamu yao mpya ya ‘Chuki...
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3IBchAfaWoyf6nyCCY3asF9yvbQ6nm-h9y7ej7W-SpELamTTMzFzWueCjotPzub9lWNlCMutgJ0TPiK5R96Obrb/KAMBI.jpg)
Kambi ya Simba ni balaa!
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Waganda wakacha kambi Simba
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Simba yakamilisha kambi Lushoto
TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii, baada ya kumaliza kambi ya wiki mbili wilayani Lushoto kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola alisema jana kuwa timu yao ilikuwa Lushoto kwa kambi ya wiki mbili kwa ajili ya mazoezi ya ukamilifu wa mwili kabla hawajaanza rasmi mazoezi ya uwanjani.
Alisema Kocha wao Mkuu, Dylan Kerr, alitaka timu iweke kambi sehemu ya baridi, kwa kuwa ni rahisi kufanya mazoezi kwa...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Kopunovic azuia kambi Simba SC
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Okwi awagawa wachezaji Simba
BAADHI ya wachezaji wa Simba wameutaka uongozi kuwachukulia hatua wachezaji wenzao kwa utovu wa nidhamu akiwemo nyota wa kimataifa, Mganda Emmanuel Okwi, badala ya kuwaonea baadhi yao. Kauli ya nyota...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.