Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa apewa kazi ya kufunga mabao


Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.AMEZOELEKA kucheza nafasi ya winga hapa Tanzania, lakini ameandaliwa majukumu ya straika kule Afrika Kusini.Kocha wa Free State Stars ya huko Bondeni, Kinnah Phiri, amefichua sababu za kumsajili winga Mtanzania Mrisho Ngassa kwenye kikosi chake akisema anamtaka akafanye kazi ya ufungaji.Kocha huyo amesema:
“Nimeanza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Winga Ngassa apewa mkono wa heri Yanga

Baada ya mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngassa kugoma kumwaga wino wa kuichezea klabu hiyo msimu ujao, uongozi wa klabu hiyo umepa mkono wa kwaheri.

 

9 years ago

BBCSwahili

Eto’o apewa kazi ya ukufunzi Uturuki

Nyota wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Chelsea Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa kaimu mkufunzi wa klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar. Mgomea Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu...

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014

 Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki  tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo  Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

10 years ago

GPL

Tambwe amlilia Ngassa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amemwambia kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm kuwa, anataka kucheza na Mrisho Ngassa.Ngassa alianza na Tambwe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya BDF na Mrundi huyo akafanikiwa kupachika mabao mawili. Mrundi huyo, akiwa anaichezea Simba, aliwahi kutamka kuwa anatamani siku moja kucheza na viungo...

 

10 years ago

GPL

Ngassa atorokea Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake. Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini. Chanzo chetu cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani