Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa atorokea Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake. Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini. Chanzo chetu cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Ngassa asaini Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
HABARI ni kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemalizana na Klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo. Hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kusisitiza kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya uongozi kutomlipia deni lake analodaiwa na benki.Wiki iliyopita kiungo huyo aliliambia gazeti hili kuwa yupo...

 

10 years ago

Vijimambo

NGASSA ATOWEKA YANGA FIGISU FIGISU ZIMETONYA KUWA KAENDA SAUZ

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake.

Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini.
Chanzo chetu cha habari kimesema winga huyo ameonekana akipanda ndege kuelekea Afrika Kusini.
Bado haijawekwa wazi kuwa amekwenda kufanya nini lakini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa Uholanzi atorokea Syria

Mwanamke na watoto wake wawili wamedaiwa kutorokea Syria kujiunga na makundi ya wapiganaji wa Islamic State

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini atorokea Kusini

Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ametorokea Korea Kusini akipitia mpaka wa mkoa wa Gangwo

 

10 years ago

BBCSwahili

Simon Msuva atorokea Afrika ya Kusini

Simon Msuva ameitoroka klabu yake ya Yanga na kuelekea afrika ya Kusini kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Orlando Pirates.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Lesotho atorokea A.kusini

Waziri mkuu nchini Lesotho Tom Thabane ameiambia BBC kwamba amelitoroka taifa hilo baada ya kupata vitisho vya maisha yake.

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE ATIMULIWA SAUZ!

Sifael Paul na Imelda Mtema
HABARI ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’ anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na sasa amekuwa akionekana Bongo akirandaranda mitaani. Muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’. TUJIUNGE JOHANNESBURG
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho...

 

10 years ago

GPL

Dozi ya Simba... Sauz usipime!

Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi. Na Wilbert Molandi
SIMBA imeambulia pointi tatu katika mechi tatu, uongozi wa timu hiyo chini ya Rais Evans Aveva umeamua kujipanga kikamilifu hasa wakati huu ambapo wanajiandaa kuivaa Yanga kwenye Ligi Kuu Bara, maandalizi ya timu hiyo yameonekana kuwa makali chini ya Kocha Patrick Phiri jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Tangu kikosi cha Simba kilipotua Afrika Kusini, Jumatano...

 

10 years ago

GPL

SNURA: NILIPOTELEA SAUZ NA MOMBASA

Gladness Mallya/Ijumaa wikienda
Alikuwa wapi? Baada ya kupotea kwa muda mrefu, staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi hatimaye ameibuka na kueleza sababu za ukimya wake. Staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum, Snura amefunguka kwamba ukimya wake ulitokana na kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kushuti video ya wimbo wake wa Najidabua na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani