Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGASSA ATOWEKA YANGA FIGISU FIGISU ZIMETONYA KUWA KAENDA SAUZ

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake.

Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini.
Chanzo chetu cha habari kimesema winga huyo ameonekana akipanda ndege kuelekea Afrika Kusini.
Bado haijawekwa wazi kuwa amekwenda kufanya nini lakini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FIGISU FIGISU ZA VIONGOZI WA YANGA NA SIMBA WAKIWA MBIONI KUOMBA MADARAKA


Uwanja wa Simba Bunju aibu tupuBy MWANAHIBA RICHARD NA GIFT MACHA 
Mwanaspoti ambalo limekuwa likifuatilia eneo la uwanja huo tangu mwanzo, juzi Jumamosi lilifanya ziara kwenye uwanja huo ili kujionea maendeleo yake lakini hali iliyokutwa sio ya kuridhisha.Katibu mkuu aliyeondoka madarakani Simba, Ezekiel Kambwaga aliukabidhi uongozi mpya wa klabu hiyo kiwanja hicho cha Simba kilichoko Bunju mwisho nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, kikiwa kimefanyiwa usafi na kutengenezwa kwa eneo la...

 

10 years ago

Vijimambo

FIGISU FIGISU ZA MAJAJI WA PAMBANO LA PAQUIAO NA MAYWEATHER



Kwa mtazamo wako juu ya pambano lile kama wewe ndiyo ungekuwa jaji ungempa nani ushindi?. Ingawa pambano limepita na mshindi kishajulina lakini bado kuna nyatu nyatu za hapa na pale kuwa majaji walinyonga upande mmoja kama chati hii inavyoonyesha.

 

10 years ago

GPL

Ngassa atorokea Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake. Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini. Chanzo chetu cha...

 

10 years ago

GPL

Ngassa asaini Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
HABARI ni kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemalizana na Klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo. Hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kusisitiza kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya uongozi kutomlipia deni lake analodaiwa na benki.Wiki iliyopita kiungo huyo aliliambia gazeti hili kuwa yupo...

 

11 years ago

GPL

Yondani naye atoweka Yanga

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani ameamua kuondoka klabuni hapo bila ya kufukuzwa tangu mechi dhidi ya Mgambo JKT, huku kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm akiwa hana taarifa zozote juu yake. Yondani hakucheza mechi ya juzi dhidi ya Kagera Sugar pamoja na ile ya JKT Ruvu ambapo ilielezwa kuwa, aliwekwa nje kwa kuwa alikuwa na kadi tatu za njano. Kikizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngassa aibukia Yanga

mshambuliaji Mrisho Ngassa ameibukia katika klabu yake ya zamani, Yanga na kufanya mazoezi ili kujiweka fiti.

 

10 years ago

Mtanzania

Ngassa aipa raha Yanga

pg32JENIFFER ULLEMBO NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imewashusha waliokuwa vinara Azam wenye pointi 22 baada ya kufikisha jumla ya pointi 25, lakini wanalambalamba hao wana mchezo mmoja mkononi.Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ndiye aliyeibuka shujaa kwa timu yake baada ya kuifungia mabao hayo yote, akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maximo amgeuka Ngassa Yanga

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Marcio Maximo akiuzungumza na vyombo vya habari Bosi huyo raia wa Brazil amekuwa akitumia nguvu kubwa mazoezini akitaka Yanga ishinde kwa kishindo uwanjani lakini jambo hilo limekuwa kinyume ambapo imekuwa ikishinda kwa mabao machache.MATOKEO iliyopata Yanga kwenye mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara hayajamfurahisha Kocha Marcio Maximo. Na hata alipokaa chini kutafakari na uongozi akataja mambo kadhaa ambayo Mrisho Ngassa ni miongoni mwa wachezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngassa arejea Yanga kiaina

Mshambuliaji Mrisho Ngassa aliyesajiliwa na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini hivi karibuni, jana aliibuka katika mazoezi ya timu yake ya zamani Yanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani