Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIGISU FIGISU ZA MAJAJI WA PAMBANO LA PAQUIAO NA MAYWEATHER



Kwa mtazamo wako juu ya pambano lile kama wewe ndiyo ungekuwa jaji ungempa nani ushindi?. Ingawa pambano limepita na mshindi kishajulina lakini bado kuna nyatu nyatu za hapa na pale kuwa majaji walinyonga upande mmoja kama chati hii inavyoonyesha.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NGASSA ATOWEKA YANGA FIGISU FIGISU ZIMETONYA KUWA KAENDA SAUZ

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake.

Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini.
Chanzo chetu cha habari kimesema winga huyo ameonekana akipanda ndege kuelekea Afrika Kusini.
Bado haijawekwa wazi kuwa amekwenda kufanya nini lakini...

 

10 years ago

Vijimambo

FIGISU FIGISU ZA VIONGOZI WA YANGA NA SIMBA WAKIWA MBIONI KUOMBA MADARAKA


Uwanja wa Simba Bunju aibu tupuBy MWANAHIBA RICHARD NA GIFT MACHA 
Mwanaspoti ambalo limekuwa likifuatilia eneo la uwanja huo tangu mwanzo, juzi Jumamosi lilifanya ziara kwenye uwanja huo ili kujionea maendeleo yake lakini hali iliyokutwa sio ya kuridhisha.Katibu mkuu aliyeondoka madarakani Simba, Ezekiel Kambwaga aliukabidhi uongozi mpya wa klabu hiyo kiwanja hicho cha Simba kilichoko Bunju mwisho nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, kikiwa kimefanyiwa usafi na kutengenezwa kwa eneo la...

 

9 years ago

Vijimambo

PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.



Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?

 

10 years ago

BBCSwahili

Roach :Mayweather hakutaka hili pambano

Kocha wa bondia Manny Pacquiao ,Freddie Roach ana wasiwasi huenda bondia Floyd Mayweather asitokeea kwenye mpambano wa mei 2.

 

10 years ago

GPL

UTATA MPYA PAMBANO LA MAYWEATHER, PACQUIAO

Karatasi ya matokeo ya majaji watatu Glenn Feldman, Burt Clements na Dave Moretti zinavyoonyesha na picha inawaonyesha mabondia hao katika kona zao, Floyd Mayweather ya bluu (kushoto) na Manny Pacquiao nyekundu (kulia). Floyd Mayweather akiwa amekaa kona nyenye rangi blue.…

 

10 years ago

GPL

RAMBO: MAYWEATHER ATASHINDA PAMBANO DHIDI YA PACQUIAO

Mabondia wa ngumi za uzito wa juu zaidi duniani, Floyd Mywether na Manny Pacquiao wanaotarajia kupanda uliongoni kuoneshana ubabe tarehe 2, Aprili mwaka huu. MCHEZA sinema maarufu duniani wa Marekani, Sylvester Stallone ‘Rambo’ amesema bondia Floyd Mayweather atashinda katika pambano dhidi ya bondia Mfilipino, Manny Pacquiao litakalofanyika Mei 2 mwaka huu. Mcheza sinema maarufu duniani Sylvester Stallone 'Rambo' na...

 

10 years ago

Bongo5

Pambano la Mayweather na Pacquiao huenda likapigwa Dubai, 2015

Pambano la masumbwi linalosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao linaweza kupigwa Mashariki ya Kati. Ripoti zinadai kuwa kundi la wawekezaji kutoka Falme za Kiarabu limetenga paundi milioni 70 kuhakikisha pambano hilo linachezwa Dubai. Baada ya miaka mingi ya kukwepana, huenda pambano hilo likafanyika May mwakani. Mapambano mengi maarufu ya ndodi hata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani