Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yondani naye atoweka Yanga

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani ameamua kuondoka klabuni hapo bila ya kufukuzwa tangu mechi dhidi ya Mgambo JKT, huku kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm akiwa hana taarifa zozote juu yake. Yondani hakucheza mechi ya juzi dhidi ya Kagera Sugar pamoja na ile ya JKT Ruvu ambapo ilielezwa kuwa, aliwekwa nje kwa kuwa alikuwa na kadi tatu za njano. Kikizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kelvin Yondani atoweka Taifa Stars

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani. Na Hans Mloli
WACHEZAJI wawili wa timu ya taifa, Taifa Stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Burundi, Kelvin Yondani na Juma Luizio hawapo kambini huku sababu mbalimbali zikitajwa kuwaondoa kikosini humo.
Stars inatarajiwa kuvaana na Burundi, leo Jumamosi katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Imeelezwa kuwa wachezaji hao hawakuwepo na hawakuwahi kujiunga na...

 

11 years ago

GPL

Baba Yondani awavaa Yanga

Beki kisiki wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
UPEPO mbaya ambao unaendelea ndani ya Yanga, ambayo makao makuu yake ni Jangwani jijini Dar es Salaam,  hasa juu ya wachezaji wa timu hiyo ambao sasa umefika mpaka kwa wazazi wa wachezaji wa…

 

11 years ago

GPL

Yondani, Kiiza wafunguliwa milango Yanga

Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Yanga kuondokewa na nyota wake wawili, Frank Domayo na Didier Kavumbagu waliokwenda kujiunga na Azam FC huku pia beki wake wa kulia, Mbuyu Twite akigoma kuingia mkataba mpya na klabu hiyo, wachezaji wengine wa timu hiyo ambao ni Hamisi Kiiza, Kelvin Yondani na Haruna Niyonzima wamefunguliwa mlango ya kuondoka klabuni hapo kama wanataka. Maamuzi hayo yalifikiwa juzi Jumamosi katika...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga play down investigation on Kaseja, Yondani

The reigning Mainland champions, Young Africans, have dismissed reports that their two players are under investigation for alleged match-fixing.

 

10 years ago

GPL

Yondani, Cannavaro watupwa nje Yanga

Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amelazimika kumrudisha kundini haraka beki wake Kelvin Yondani kutokana na kikosi chake kukumbwa na uhaba wa mabeki wa kati.

 

10 years ago

GPL

Domayo naye anukia Yanga

Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BAADA ya kuelezwa kuwa straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu yupo mbioni kurejea kwenye kikosi cha Yanga, habari nyingine ni kuwa kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, naye anadaiwa kuwa kwenye njia ya kurejea kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani. Domayo ambaye alijiunga na Azam mwanzoni wa msimu huu akitokea Yanga, inadaiwa kuwa amekuwa katika hali tata ya kutokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NGASSA ATOWEKA YANGA FIGISU FIGISU ZIMETONYA KUWA KAENDA SAUZ

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake.

Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini.
Chanzo chetu cha habari kimesema winga huyo ameonekana akipanda ndege kuelekea Afrika Kusini.
Bado haijawekwa wazi kuwa amekwenda kufanya nini lakini...

 

10 years ago

GPL

Yanga yamteka beki Simba airport, yaondoka naye

Beki wa kati wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
KAMA noma na iwe noma, ukizubaa umeliwa, hivyo ndivyo unaweza kufikiria kutokana na vita ya chinichini inayoendelea katika usajili wa dirisha dogo la Ligi Kuu Bara, hasa kuhusu klabu kubwa za Yanga na Simba. Timu hizo zote zipo kwenye mawindo ya kusajili baada ya kutokuwa na matokeo ya kuridhisha katika mechi saba za awali za Ligi Kuu Bara, sasa Yanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani