Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba Yondani awavaa Yanga

Beki kisiki wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
UPEPO mbaya ambao unaendelea ndani ya Yanga, ambayo makao makuu yake ni Jangwani jijini Dar es Salaam,  hasa juu ya wachezaji wa timu hiyo ambao sasa umefika mpaka kwa wazazi wa wachezaji wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yondani amjengea baba yake nyumba ya kifahari

Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa, Beki wa Yanga, Kelvin Yondani, amemhamisha mji baba yake mzazi mzee Patrick Yondani kutoka Mwanza na kuhamia Dar es Salaam.
Yondani amekuwa na mafanikio makubwa katika kuichezea Yanga kutokana na umahiri wake ambapo amekuwa akiisaidia kutokana na kuwa beki bora. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha kuaminika kutoka Mwanza kinachokaa karibu na mzee huyo, kimeeleza...

 

11 years ago

GPL

Yondani naye atoweka Yanga

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani ameamua kuondoka klabuni hapo bila ya kufukuzwa tangu mechi dhidi ya Mgambo JKT, huku kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm akiwa hana taarifa zozote juu yake. Yondani hakucheza mechi ya juzi dhidi ya Kagera Sugar pamoja na ile ya JKT Ruvu ambapo ilielezwa kuwa, aliwekwa nje kwa kuwa alikuwa na kadi tatu za njano. Kikizungumza na...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga play down investigation on Kaseja, Yondani

The reigning Mainland champions, Young Africans, have dismissed reports that their two players are under investigation for alleged match-fixing.

 

11 years ago

GPL

Yondani, Cannavaro watupwa nje Yanga

Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza...

 

11 years ago

GPL

Yondani, Kiiza wafunguliwa milango Yanga

Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Yanga kuondokewa na nyota wake wawili, Frank Domayo na Didier Kavumbagu waliokwenda kujiunga na Azam FC huku pia beki wake wa kulia, Mbuyu Twite akigoma kuingia mkataba mpya na klabu hiyo, wachezaji wengine wa timu hiyo ambao ni Hamisi Kiiza, Kelvin Yondani na Haruna Niyonzima wamefunguliwa mlango ya kuondoka klabuni hapo kama wanataka. Maamuzi hayo yalifikiwa juzi Jumamosi katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amelazimika kumrudisha kundini haraka beki wake Kelvin Yondani kutokana na kikosi chake kukumbwa na uhaba wa mabeki wa kati.

 

10 years ago

GPL

Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga

Winga wa Yanga, Simon Msuva. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA amemkomesha baba yake mzazi vile, winga Simon Msuva amesaini mkataba mwingine wa miaka miwili ya kuendelea kuichezea Yanga inayojiandaa na Kombe la Kagame, Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Awali, baba wa winga huyo, Happygod Msuva, alimzuia mwanaye kusaini mkataba mwingine wa kuendelea kuichezea Yanga, badala yake aende Simba akapate changamoto mpya....

 

11 years ago

GPL

Yondani aibukia Arusha

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani ‘Vidic’. Na Martha Mboma
SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti kuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani ‘Vidic’, hajulikani alipo, huku baba yake mzazi, mzee Patrick Yondani, akikiri juu ya hilo, mchezaji huyo amerejea kikosini na kujiunga na msafara ulienda Arusha kucheza mechi dhidi ya JKT Oljoro. Yondani japokuwa amesafili na timu hiyo lakini kuna kila dalili kuwa mchezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yondani mikononi mwa TFF

BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake Mart Nooij, limesema halitambui sababu za beki wa timu hiyo Kelvin Yondani kushindwa kwenda kambini,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani